TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

Sasa taifa letu litapiga hatua kubwa kimaendeleo,haya maigizo ya bunge yalikuwa yanawachukulia mda mwingi sana wa kufanya kazi wananchi








Hivi kufanya kazi huwa mnakutaja kea kutumia vigezo gani..? Ukiwa unafanya kazi Tv inazima..? Nenda kwenye maofisi ya hawa watawala uone tv zilivyo nyingi na wakati mwingine wanasikikiza bongo fleva. Tusikalili kwamba kazi ni kuzunguka juani mchana kutwa la hasha naweza fanya kazi huku tv ingiendelea na matangazo na bado ni ka deliver kitu kizuri tu, tupanue fikra zetu basi umri unaenda
 
kuna jamaa kanambia eti wote hawataonyesha kisa erti wote walikuwa wanapata toka tbc si uongo huu nishamchamba weee hebu nambien iz zis true nianze kuratibu maandamano kudai kuona bunge live?///////


just jocking msije mkaanza kumtafuta kova buree na najua pia kstaafu watoto wa shule za kata msije mkaanza hoja hapa
 
"Information is Power"


Fungeni Facebook
Fungeni Whatsapp
Fungeni Jamii Forum
Fungeni Tweeter
Zuieni simu za Smart Phone
Zuieni huduma za Mtandao


Lengo kuu ni kuendelea kuwa Wajinga ili muendelee kutluongoza
 
mambo ya kunyimana hsbar haya sio kabisa mungu gusaidie
 
NIMESHANGAA SANA KUTOA SABABU YA GHARAMA WAKATI AZAM NA STAR TV WANAJITEGEMEA, siungi mkono huu upuuzi wa kutubania uhuru wa habari.
Endapo Azam tv na Star tv wataingia kwenye huu mkumbo.Nitaamini huu ni mkakati mzito.Ulioanzia ngazi za juu kabisa
Na hii itakuwa hatari kubwa kwa taifa
 
Tukubaliane jamba moja,Kama TBC wanaona ni gharama kurudha bunge live ni kwa nini Azam Tv na Star Tv nao wamekatisha matangazo ngafla?
Tanzania sio korea kasikazini,Endapo vyombo vya habari vitadhibitiwa kwa mtindo huu ni kheri turudi kwenye chama kimoja tusiwe nchi ya kuhoji wala kujadili
Tunapoelekea hata Mtandao wetu pendwa JF nao unaweza pangiwa mashariti
Huu uoga unatoka wapi?Hii haki ya kupata habari ni ya kikatiba sio hisani ya mtu wala serekali
Rais Magufuli asipoingilia swala hili mapema heshima yake yote aliyoipata itaporomoka.Huu ni aina ya udikteta
Azam tv wameonyesha hadi bunge linaahirishwa na sasa hivi ndio limeanza tena kutangaza uamuzi huo,
 
Unauhakika taarifa zinasema kwamba tbc ita-record kipindi kizima cha bunge bila kuki-edit? au ndio muendelezo wako kukurupuka hapa?


Hilo nalo wazo, lkn utekelezaji wake ni mgumu na Serikali ni ngumu kuingilia huko , ila Bunge liko chini ya Serikali na hivyo ni rahisi kufanyika!
 
kuna jamaa kanambia eti wote hawataonyesha kisa erti wote walikuwa wanapata toka tbc si uongo huu nishamchamba weee hebu nambien iz zis true nianze kuratibu maandamano kudai kuona bunge live?///////


just jocking msije mkaanza kumtafuta kova buree na najua pia kstaafu watoto wa shule za kata msije mkaanza hoja hapa
Azam tv wanamitambo yao binafsi ya Live even star tv labda wafanye hivyo kwa shinikizo tu
 
"Information is Power"


Fungeni Facebook
Fungeni Whatsapp
Fungeni Jamii Forum
Fungeni Tweeter
Zuieni simu za Smart Phone
Zuieni huduma za Mtandao


Lengo kuu ni kuendelea kuwa Wajinga ili muendelee kutluongoza
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh
 
HAPA KAZI TU! MUDA WA KUANGALIA BUNGE HAKUNA SUBIRI USIKU! SAFI SANA! WATANZANIA MAENDELEO HULETWA KWA KUFANYA KAZI SI KUANGALIA TV WAKATI WA KAZI.
 
"Information is Power"


Fungeni Facebook
Fungeni Whatsapp
Fungeni Jamii Forum
Fungeni Tweeter
Zuieni simu za Smart Phone
Zuieni huduma za Mtandao


Lengo kuu ni kuendelea kuwa Wajinga ili muendelee kutluongoza
Na JF ina slogan nzuri sana dare to talk Sasa ipo hatari nape akabadili hii slogan yetu humu
 
Watakuwa wame edit kuonyesha mazuri ya CCM tu .,.. Acha tuisome number ... kwa mbali naona awamu hii itakuwa ya hovyo kuliko zote .


Hakuna Habari ambayo haieditiwi na Watawala Dunia Hii, na mambo mengi unayoyajua na kuyaamini si ajabu ni Uongo na umedanganywa tangu mtoto na ukaamini, kwa mfano siajabu hakuna ugonjwa wa UKIMWI Duniani ila umeambiwa tu hivyo ukaamini, labda na nimesema tu labda!
 
Mr. president pls pls / TBC NEED FREEDOM / FREEDOM BY 100%
MWANA HUYO ANALELEWA VIBAYA MATOKEO YAKE KILA KUKICHA RUZUKU NA BADO PAMOJA NA RUZUKU INASHINDWA HATA KUJISOGEZA!
INAJENGEWA ULEMAVU KIJINGA!!
IACHWE IPAMBANE IPEWE WAONGOZAJI WENYE UZOEFU ISONGE MBELE BILA RUZUKU AU IJIENDESHE!
N.B
***
FEDHA ZA TAIFA ZINAMAJUKUMU NYETI SANA / KULILEA TBC NI UPUUZI,
THAT MEANS, MTAENDELEA KUILEA ATCL NA MADUDU MENGINE MENGI TU /
RAIS JPM PLS ONA DUDU HILI.
 
Mlishaambiwa na Kikwete kuwa Magufuli ni mkali. Sasa mnaia lia ini?
 
Back
Top Bottom