Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Sio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?🤭🤭..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tenaHuo upotezaji wa kumbukumbu ni wa muda kikiwa kwenye damu ama ni permanent & pensionable
Dada yangu nawe mlevi wa vant mbna wife material kabisa.Sio kinapoteza kumbukumbu mkuu...kinadelete na kufuta kabisa! Sijui why
hata mimi mwanzo nilikuwa kama wewe ila cha msingi endelea usijjaliiii kwasasa badooo.....Mnakunywa Vant wapi tandika au buza? jitahidi kununua katika bar au duka linaloeleweka, hio kitu haina shida yyte, mi nagonga nzima na ninaamka fresh kbs, acheni kuharibu brand za watu.
Bora hata wewe kuna jamaa humu alisema alijikuta chooni asubuhisio wewe tu mimi nililala kwa empty room naamka hata sijielewiiii
Yaani mm tena ukitaka ugombane na mm ulete habari za mapenzi...hahahaa nakunywa mkuu..ukioa utaelewa...niliingia nakunywa juice tu..nw mzinga wa kvant mkubwa namaliza na nnadrive safi kbs.ila sio kila mara...twice a month!Dada yangu nawe mlevi wa vant mbna wife material kabisa.
mm nishawai ipiga nikakamata malaya, nikasahau hata nilimuokota wapi.
Mmmh mzinga unamaliza mwenyewe, ww ni hatar.Yaani mm tena ukitaka ugombane na mm ulete habari za mapenzi...hahahaa nakunywa mkuu..ukioa utaelewa...niliingia nakunywa juice tu..nw mzinga wa kvant mkubwa namaliza na nnadrive safi kbs.ila sio kila mara...twice a month!
Natumia hata 3hrs mkuu..namix na koka .sio dry..inakuwa kama wine tu altar😋! Bas haikufai ...mm st anna inaniwakisha .sio k vantMmmh mzinga unamaliza mwenyewe, ww ni hatar.
Mm nikilewa lazima nikuombe mzigo tena k vant inakimbilia chini.
High Life sio poa naienda sema ukikata gogo halufu yake lazima mbu wafeeeeKweli serikali inatakiwa iingilie kati. Kiuhalisia hizi pombe kali za hapa kwetu sio kabisa. Yaani sio ambacho wanywaji wanaaminishwa ndicho. Nyingi ni sumu.
Imagine pombe kama Diamond, Kitoko, HighLife and the likes. Hizo ni gongo tu kama gongo.
Hizo Konyagi na Kvant nazo zinachakchuliwa sana. Juzi Arusha kuna mama amekamatwa na mtambo na vifaa vya kutengenezea Konyagi kwenye chumba.
Natumia hata 3hrs mkuu..namix na koka .sio dry..inakuwa kama wine tu altar😋! Bas haikufai ...mm st anna inaniwakisha .sio k vant
Afu wahudumu wote wanageuka warembo wenye vyura waliononaAfu kwanini ukinywa lazima uwaze kwenda kufanya ngono.
Sijui ina nini....japo ni nzuri na inachangamsha sana
Yes namix na limao na koka hulewi ng'o..spirite mm inanishindasasa ukitaka k vant iwe tamuuu balaa na huta jutia chukua limaoo lako moja kata vipande tia kwenye glass chukua na sprite zero mimina aiseee ni balaaa unaweza maliza chupa mbili kizembe
Me nagonga dry ila nimeacha vant,nimeamia kwenye safari.Natumia hata 3hrs mkuu..namix na koka .sio dry..inakuwa kama wine tu altar😋! Bas haikufai ...mm st anna inaniwakisha .sio k vant
Mm daily ndo siwez kbs aisee..hata weekly siwezMe nagonga dry ila nimeacha vant,nimeamia kwenye safari.
Anhaaa... kumbeeYes namix na limao na koka hulewi ng'o..spirite mm inanishinda
Toka pepo mchafu🤣Anhaaa... kumbee
Mi nsipopiga K Vant, usiku naota nimegombana na mama. Nami sitaki laana ya mama...Mm daily ndo siwez kbs aisee..hata weekly siwez
Hahahahahahhahaaa u made my evening aise🤣🤣🤣Mi nsipopiga K Vant, usiku naota nimegombana na mama. Nami sitaki laana ya mama...
Siku mepiga K Vant nkapoteza memory. Nlikuwa nimenunua samaki nikawaweka kwa buti ya bajaji yangu... kufika home sijakumbuka. Nkalala... imagine hiyo ni Ijumaa, jumatatu nataka niwashe kibajaji niwahi job... hakyamama ilitoka harufu moja matata sana.... chupa laki nne za pafyumu tofauti zilichemka kutoa harufu...Toka pepo mchafu🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] mturaSio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?[emoji2960][emoji2960]..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
Niliwah kula mbichi nikauchukia mazima[emoji23][emoji23][emoji23] mtura