TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Hhahahhaa chizi ww.! Ila kvant ina mizuka mizuri sana!sema ina maconfidence kama unayosema🤣🤣! Karibu tena
Asante mpenzi.

Ilinivunja mguu pale Ijenga bar Dodoma.
Mzuka umepanda, nikapanda juu ya kiti kucheza, nilijikuta tu niko ndani ya bajaji naenda General hospital.
....nikapona, na sijaiacha.
 
Aisee nlikunywa baada ya hapo nikachukua pikipik yangu na kutaka kuondoka..matokeo yake kabla sijaingia road pikipik ikanishinda nikadondoka huku nimetanguliza mdomo...nliumia balaaa..ila namshukur mung meno hayakutoka..ila k vant sitak kuzisikia Tena labda baada ya mwaka..
Ilikuaje mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
me nlikuwa mlevi mbwa wakonyagi miaka zaid ya 7 ila sahivi nmeacha mtungi mazima zaidi ya miaka miwili sio k vant hata nyagi hivyohivyo sema hii inatoka na dozi ikiwa kubwa mwanzo stimu halipandi unaendelea kutia vitu linakuja kuripuka baadae lazma upoteze kumbukumbu yani hata usijue home ulifikaje siku ya pili kila ukijatahidi kukumbuka wap unabaki na nomaa
 
Yaani mm tena ukitaka ugombane na mm ulete habari za mapenzi...hahahaa nakunywa mkuu..ukioa utaelewa...niliingia nakunywa juice tu..nw mzinga wa kvant mkubwa namaliza na nnadrive safi kbs.ila sio kila mara...twice a month!

[emoji2303][emoji2303] Jizozii..!!!. Mkubwa unamaliza
 
Nilijua ni mimi peke yangu Kumbe ni wadau wengi.
Juzi nilipiga nikarudi hom fresh, nikapiga story na mke mpaka usiku mnene,kuamka asubuhi mke wangu ananiambia twende basi ulikosema jana, nikabaki nashangaa tu.
mkuu mtungi unazingua sana ukija kuukatia siku ukikaa na mlevi ndo utajua noma zako ulivyokuwa unamaanika
 
Nilienda bush msibani kukawa hakuna wine wala beer tulizozizoea mjini.
Huko ni safari, balimi na Kvant...nikasema bora ninywe Kvant.
Haikupita masaa mawili nililewa vibaya nikapandishwa kwenye gari kupelekwa home...ile nashuka nikatapika nyama yote niliyoila.
Cha kushangaza aliyenipeleka home hadi leo simkumbuki. Kila nikiwauliza watu nani alinipeleka wanacheka. Nachojua ni ndugu yangu mmoja wa kike
 

Dah,pole sana mkuu.Hiyo inaitwa ajali kazini
 
Valeur Brandy ina 40%alc. nakunywa vizuri tu bila shida Ila kuna siku niliikosa nikaamua kunywa K-Vant eeeeh bhana weee kilichotokea sikuamini, asubuhi nacheki hata chupa sikumaliza halafu alcohol yake inasoma 35%.
Nikajua ni mm tu imenizingua lakini jamaa zangu kibao wakinywa wanapata mental disorder.[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Asante mpenzi.

Ilinivunja mguu pale Ijenga bar Dodoma.
Mzuka umepanda, nikapanda juu ya kiti kucheza, nilijikuta tu niko ndani ya bajaji naenda General hospital.
....nikapona, na sijaiacha.
Hahahahahahahahhahahahahahaha...ss walikusaidiaje usk huo na una alcohol mwilini🤣🤣🤣🤣! Khaaa ww sikuwwzi .bas ww mizuka yako ni level nyingine hahhaaa nicheze juu ya meza? Wee nibilingite chini inahu? Ila mm nataka kucheza tu aise nisizuiwe!miziki fulani hv..sio bongoflava😒
 


🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌! K vant mm napig twice a month bas kujipongeza ! Ila kila mara mh!
 
Afu kwanini ukinywa lazima uwaze kwenda kufanya ngono.
Sijui ina nini....japo ni nzuri na inachangamsha sana
kweli huwa mi nikiga huwa inataka Mama!
ndio nina malizia moja apa nguruko battery nina hisi ipo 98%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…