TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

Hakuna bus nimelipanda kama hili. Safari zangu za shule Arusha-Moro, Arusha-Dodoma.

Nilipanda sana mpaka jamaa wakawa wananijua wana ni treat kama dogo wao. It's sad kusikia kuwa kampuni imekuja ku halt kisa ufujaji tu.
 
Mkuu kwa heshima na taadhima tunaomba uzi kamili.
 
Hood nayo ilikuwa noma aisee, nilikuwa naipenda ile ya Arusha - Mbeya kupitia Chalinze yaani ilikuwa moto chini
 
Ha ha ha ha dah

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…