Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #221
Ilikuwa na kinanda amazing kinomaKitu Leyland CD, mlio wake ikiwa inapanda mlima utaupendaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa na kinanda amazing kinomaKitu Leyland CD, mlio wake ikiwa inapanda mlima utaupendaa
Hakuna bus nimelipanda kama hili. Safari zangu za shule Arusha-Moro, Arusha-Dodoma.Kiswele ilikuwa inatumia masaa mawili tu from Dar to Moro believe me!! ikiwa inashusha mlima kuitafuta msamvu mnaisikia sauti yake hiyooo mnajua kabisa hii ni Kiswele bjnafsi nimefanya kazi Hood Limited kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010 mpaka ikafikia kipindi nikawa family friend wa wamiliki ikizingatia kwamba pia walikuwa wanafahamiana na baba yangu before..Nilipiga mzigo pale enzi zile Hood ni Hood hata nilipomaliza chuo sikuona umuhimu wa kuendelea na kazi nyingine kutokana na mavumba yaliyokuwa yanapatikana hapo na mimi ndio nilitoa wazo la kuwa na route ya Nairobi Arusha hapo ndio nikazidi kugongelea msumari wa kuaminiwa lakini kizuri hakidumu niliamua kufanya majukumu yangu mengine kabisa kwa hiyari baada ya kuhitaji changamoto mpya lakini maboss zangu ambao walinilea bado nipo nao karibu mpaka kesho hasa watoto zake..Hood sio kama amefirisika hapana ukweli ni kwamba kulitokea mgogoro mzee mwenyewe akiwatuhumu watoto kuwa wanafuja mali za kampuni kwa kutumia hela kwa starehe hivyo hana nia ya kuendelea na biashara hiyo ingawa bado kampuni ilikuwa top na tulikuwa kwenye process ya kuorder mabasi mapya makaliii so akaifunga taratibu kampuni mabasi kayafungia ndani na mengine anauza kwa bei ya kutupa mgogoro huu ulikuwa hasa kati ya mzee na watoto wake hasa Tiffu na Saidy ambao ni wakubwa na ndio walikuwa wakurugenzi ukiachana na yule mwingine aliyekuwa uarabuni mpaka leo Hood Hood..mzee kaamua kuwekeza kwenye biashara nyingine kama kwenye Real estates na kununua hisa kwa baadhi ya makampuni kama Azania..asante kwa uzi huu
View attachment 2054530
Hii ilikuwa na mad flap imeandikwa " WALI MOTO, MCHUZI MOTO"
Kiicheko kimegeuka kilio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30]
Kawe- Posta ya ZamaniChai maharage
Kweli kabisa, enzi hizo Kila anaetoka Dar anakuja na mkate wa boflo
Jamaa sijui walifeli wapi hadi kampuni ile ikafa.
Mkuu kwa heshima na taadhima tunaomba uzi kamili.Nashangaa wadau wamejisahaulisha zamani ilikuwa huwezi kutaja route ya Dar Moro bila kuwagusa Islam,Sadiq Line,Hood na Abood..Hizo gari zilikuwa na upinzani wa hali ya juu kinoma kama vita vile halafu huwezi kuamini ukiambiwa wamiliki wa basi hizo wote wana relationship nzuri sana na wanasaidiana wakati wa matatizo..Enzi hizo Sadiq Line wakati anaanza akataka kutembelea kiki ya ushindani na Hood akakuta vijana wa Hood enzi hizo tupo moto tumeprint hadi fulana wachangamfu kinoma sio wale Dar au wale wa Moro wote tupo machachali kinoma basi tukampiga kijembe tukaandika mabasi yetu "jino moja mswaki wa nini!?" Hapo ilikuwa ni kijembe kwa sadiq line aliyetaka kushindana na sisi wakati alikuwa na basi moja tu wakati anaanza basi na wao walivyokuwa watata wakajibu eti "meno mengi lakini yote mabovu" enzi hizo usipokuwa na team nzuri ya wapiga debe huambulii abiria sisi tulikuwa na wapiga debe enzi zile Abood alikuwa anapata ajali sana basi wapiga debe wetu wakimuona abiria anapanda Abood wanaenda kumlilia [emoji23][emoji23]aloo ukiwa na roho ndogo unaweza kuhairisha kupanda abood watu wanakulilia design ile "anaenda kufa jamaniii mama weee" Halafu basi kama halijajaa pale stend kulikuwa na hela maalumu ya wapiga debe boss alikuwa ananipa mimi inspector niende nkawarushie sandakalawe wapiga debe basi nikifika Kibaha namwaga mahela,Chalinze,Mlandizi halafu huyo nashuka narudi Dar mpaka gari linafika Moro abiria wote nawekewa mimi hakuna basi lolote linaloweza kutuovertake kuchukua abiria wapiga debe walikuwa wananikubali kinoma nikikutana nao wengine wanashangaa jinsi nilivyobadilika kama sio mimi vile
Kweli wewe wa juzi, ela zimetumwa kwenye bus mpaka 2010 - 2012 pamoja na kwamba Mpesa ilianza 2008Watu wa kale mlipata sana shida!!!! Kwaio pesa ilikua inatumwa kwa bus[emoji23]
Hood nayo ilikuwa noma aisee, nilikuwa naipenda ile ya Arusha - Mbeya kupitia Chalinze yaani ilikuwa moto chiniKiswele ilikuwa inatumia masaa mawili tu from Dar to Moro believe me!! ikiwa inashusha mlima kuitafuta msamvu mnaisikia sauti yake hiyooo mnajua kabisa hii ni Kiswele bjnafsi nimefanya kazi Hood Limited kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010 mpaka ikafikia kipindi nikawa family friend wa wamiliki ikizingatia kwamba pia walikuwa wanafahamiana na baba yangu before..Nilipiga mzigo pale enzi zile Hood ni Hood hata nilipomaliza chuo sikuona umuhimu wa kuendelea na kazi nyingine kutokana na mavumba yaliyokuwa yanapatikana hapo na mimi ndio nilitoa wazo la kuwa na route ya Nairobi Arusha hapo ndio nikazidi kugongelea msumari wa kuaminiwa lakini kizuri hakidumu niliamua kufanya majukumu yangu mengine kabisa kwa hiyari baada ya kuhitaji changamoto mpya lakini maboss zangu ambao walinilea bado nipo nao karibu mpaka kesho hasa watoto zake..Hood sio kama amefirisika hapana ukweli ni kwamba kulitokea mgogoro mzee mwenyewe akiwatuhumu watoto kuwa wanafuja mali za kampuni kwa kutumia hela kwa starehe hivyo hana nia ya kuendelea na biashara hiyo ingawa bado kampuni ilikuwa top na tulikuwa kwenye process ya kuorder mabasi mapya makaliii so akaifunga taratibu kampuni mabasi kayafungia ndani na mengine anauza kwa bei ya kutupa mgogoro huu ulikuwa hasa kati ya mzee na watoto wake hasa Tiffu na Saidy ambao ni wakubwa na ndio walikuwa wakurugenzi ukiachana na yule mwingine aliyekuwa uarabuni mpaka leo Hood Hood..mzee kaamua kuwekeza kwenye biashara nyingine kama kwenye Real estates na kununua hisa kwa baadhi ya makampuni kama Azania..asante kwa uzi huu
View attachment 2054530
Zimepiga sana route za Dodoma - DarSiri yako
Super service yupo singida anaruti ya singida mbeyakuna kampuni zinaitwa super service na Hongera coach ni za Manyoni... hakuna mwenye kuzijua wakuu?
MV MAPENZI Daladala iyo Isuzu tani 10 Temeke-Posta via Chang'ombe miaka ya 1989 mpaka 90 mwanzoni acha kabisa. Suka alikua jamaa mmoja iv mwembamba mrefu. UDA waliokua na Benz tani 10 Temeke-Kongowe via Kilwa toad.
Tunyande, Dar - Mbeya. Hapa likiwa limepaki Mnazi Mmoja, tayari kwa safari.
Ha ha ha ha dahNashangaa wadau wamejisahaulisha zamani ilikuwa huwezi kutaja route ya Dar Moro bila kuwagusa Islam,Sadiq Line,Hood na Abood..Hizo gari zilikuwa na upinzani wa hali ya juu kinoma kama vita vile halafu huwezi kuamini ukiambiwa wamiliki wa basi hizo wote wana relationship nzuri sana na wanasaidiana wakati wa matatizo..Enzi hizo Sadiq Line wakati anaanza akataka kutembelea kiki ya ushindani na Hood akakuta vijana wa Hood enzi hizo tupo moto tumeprint hadi fulana wachangamfu kinoma sio wale Dar au wale wa Moro wote tupo machachali kinoma basi tukampiga kijembe tukaandika mabasi yetu "jino moja mswaki wa nini!?" Hapo ilikuwa ni kijembe kwa sadiq line aliyetaka kushindana na sisi wakati alikuwa na basi moja tu wakati anaanza basi na wao walivyokuwa watata wakajibu eti "meno mengi lakini yote mabovu" enzi hizo usipokuwa na team nzuri ya wapiga debe huambulii abiria sisi tulikuwa na wapiga debe enzi zile Abood alikuwa anapata ajali sana basi wapiga debe wetu wakimuona abiria anapanda Abood wanaenda kumlilia [emoji23][emoji23]aloo ukiwa na roho ndogo unaweza kuhairisha kupanda abood watu wanakulilia design ile "anaenda kufa jamaniii mama weee" Halafu basi kama halijajaa pale stend kulikuwa na hela maalumu ya wapiga debe boss alikuwa ananipa mimi inspector niende nkawarushie sandakalawe wapiga debe basi nikifika Kibaha namwaga mahela,Chalinze,Mlandizi halafu huyo nashuka narudi Dar mpaka gari linafika Moro abiria wote nawekewa mimi hakuna basi lolote linaloweza kutuovertake kuchukua abiria wapiga debe walikuwa wananikubali kinoma nikikutana nao wengine wanashangaa jinsi nilivyobadilika kama sio mimi vile