Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliyekuwa a anamchora yule mwewe nyuma ya basi alikuwa anaitwa MKAVINGAKiswele ilikuwa inatumia masaa mawili tu from Dar to Moro believe me!! ikiwa inashusha mlima kuitafuta msamvu mnaisikia sauti yake hiyooo mnajua kabisa hii ni Kiswele bjnafsi nimefanya kazi Hood Limited kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010 mpaka ikafikia kipindi nikawa family friend wa wamiliki ikizingatia kwamba pia walikuwa wanafahamiana na baba yangu before..Nilipiga mzigo pale enzi zile Hood ni Hood hata nilipomaliza chuo sikuona umuhimu wa kuendelea na kazi nyingine kutokana na mavumba yaliyokuwa yanapatikana hapo na mimi ndio nilitoa wazo la kuwa na route ya Nairobi Arusha hapo ndio nikazidi kugongelea msumari wa kuaminiwa lakini kizuri hakidumu niliamua kufanya majukumu yangu mengine kabisa kwa hiyari baada ya kuhitaji changamoto mpya lakini maboss zangu ambao walinilea bado nipo nao karibu mpaka kesho hasa watoto zake..Hood sio kama amefirisika hapana ukweli ni kwamba kulitokea mgogoro mzee mwenyewe akiwatuhumu watoto kuwa wanafuja mali za kampuni kwa kutumia hela kwa starehe hivyo hana nia ya kuendelea na biashara hiyo ingawa bado kampuni ilikuwa top na tulikuwa kwenye process ya kuorder mabasi mapya makaliii so akaifunga taratibu kampuni mabasi kayafungia ndani na mengine anauza kwa bei ya kutupa mgogoro huu ulikuwa hasa kati ya mzee na watoto wake hasa Tiffu na Saidy ambao ni wakubwa na ndio walikuwa wakurugenzi ukiachana na yule mwingine aliyekuwa uarabuni mpaka leo Hood Hood..mzee kaamua kuwekeza kwenye biashara nyingine kama kwenye Real estates na kununua hisa kwa baadhi ya makampuni kama Azania..asante kwa uzi huu
View attachment 2054530
Ndio upo sahihi tumefanya nae kazi sana jamaa..yule mwewe anamaanisha "riziki ya kila mtu ipo kwenye mbawa za mwewe" hapa nadhani mzee mwenyewe ndio anaelewa maana hasa ya msemo huoJamaa aliyekuwa a anamchora yule mwewe nyuma ya basi alikuwa anaitwa MKAVINGA
Watu wa kale mlipata sana shida!!!! Kwaio pesa ilikua inatumwa kwa bus[emoji23]Scandinavia gari ya kwanza kwangu kupanda ina choo ndani, tunapewa biskuti na soda.. nimetumiwa sana hela kupitia basi hili
Tawaqal na dereva wake Giriki alikuwa balaa.
Pia Kuna kampuny ya Ruvuma tours line ilivuma sana miaka ya 1998 kuelekea 2000 ikifanya safari zake kati ya songea-Dar
Hadi leo hamna anayewafikia kwa ubora wakeScandinavia gari ya kwanza kwangu kupanda ina choo ndani, tunapewa biskuti na soda.. nimetumiwa sana hela kupitia basi hili
Ipo ile bus ilikua na ndege kwa juu...
Hata scania zenye sanamu Michelin nazo sizioni skuiziKama sikosei ni buffalo
Zainabu yalikuwa na chata ya chui nyuma sijui walimaanisha nini?Tawaqal
Zainabu
Masiah
M Sleeping Coach
Matema Beach
Scandinavia Express
Kiswele
Executive
Hood ltd
Safina
Embakassy
Lupelo
Sayuni
Zainabu yalikuwa na chata ya chui nyuma sijui walimaanisha nini?
ALMAARUFU KAMA NGORIKA "KIPISI"Hiyo Ngorika ilikuwa inamwaga moto balaa
T110ACM
"M A C E D O N I A"