TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

USAFIRI HUU HAUVUMI LAKINI BADO WAMO​



Huu ni usafiri wa kutoka Songea kuelekea Namtumbo maarufu kwa jina la 'Matimbula' ingawa kuna magari mengine ya kisasa yanayofanya safari kuelekea huko lakini gari hilo limekuwa na wapenzi wengi ingawa mwendo wake ni wa polepole kama wa kinyonga.

Huyu ni abiria aliyekuwemo kwenye basi hilo ambaye alijitambulisha kwa jina moja la Abdul
 
Sahh kabisa nakumbuka nilipanda gari hii mwaka 2011 wakat nampeleka mdogo wangu seminari ya kikatoliki kuanza kidato Cha 1 STELLA MATUTINA - LIGHANO

nadhan Bado inapiga kazi hii

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…