igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hivi hii si ndiyo ilikula mzinga maeneo ya Chalinze na kuuwa karibia abiria wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii si ndiyo ilikula mzinga maeneo ya Chalinze na kuuwa karibia abiria wote?
Kumbeee?!!ndo TashrifPia No Challenge lilitumbukia mto Wami. Baada ya hapo wakabadilisha jina na kujiita Tashrif
Ngorika a.k.a macedonia🙌🙌🙌🙌1. TAWAQAL EXPRESS
View attachment 2054358
Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea.
Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI.
Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7 mchana.
2. SHABAHA EXPRESS
View attachment 2054378
Kampuni hii ilibamba sana miaka ya nyuma ikisafirisha abiria kati ya Dar na Arusha. Jamaa walikuwa wakishindana na wakongwe wa zamani kama Ngorika, Dar EXPRESS nk
3. SCANDINAVIA EXPRESS
Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee ya kitanzania iliyowahi kutokea kwa kuwa na huduma za uhakika na za viwango vya hali ya juu kabisa kulinganisha na huduma zinazotolewa na kampuni za sasa. Kampuni hii ilijijengea jina kubwa na sifa nzuri ndani na nje ya nchi kwa huduma bora walizokuwa wakizitoa kwa abiria wake na pia kuliletea sifa taifa la Tanzania kwa kujulikana kuwa na mabasi ambayo ni quality na high class.
View attachment 2054407
Kampuni ya Scandinavia ilianzishwa zaiidi ya miaka thelathini na tano (35) iliyopita ikiwa na mabasi machache tu aina ya LEYLAND na ilipofika mwaka 1982 kwa mara ya kwanza Scandinavia walinunua basi lao la kwanza la kisasa kutoka kampuni ya SCANIA TANZANIA COACHES aina ya SCANIA ambalo kutokana na ubora wake na uzuri wake kwa kipindi hicho waliamua kulitumia kwa safari yao mpya waliyoianzisha ya Dar es salaam hadi Iringa.
BASI LA KWANZA LA KISASA KUNUNULIWA NA SCANDINAVIA 1982
Kadiri mahitaji ya usafiri yalivyokuwa yakiongezeka ndipo michirizi ya rangi ya BLUU,KIJIVU na NYEKUNDU ikaanza kuonekana katika mabasi mengi zaidi yaliyokuwa yakisafirisha abiria karibia kila kona ya Tanzania.
Ilipofika mwaka 2001 kampuni ya Scandinavia walianzisha safari yao ya kwanza kabisa kutoka nje ya nchi kwa safari ya Dare es salaam hadi Nairobi nchini Kenya,ambapo mafanikio ya ruti hiyo yalipelekea kuzaliwa kwa ruti nyingine kati ya Nairobi hadi Mombasa na Mombasa hadi Dar es salaam. Katika mwaka wa 2002 kampuni ya Scandinavia walipanua wigo wa huduma zao kwa kuanza ruti mpya ndani ya Afrika mashariki kwa safari za Dare es salaam hadi Kampala nchini Uganda.
Ilipofika mwaka 2003 kampuni ya Scandinavia ilipanua wigo zaidi kwa kuanza kwenda katika mji mkuu wa nchi ya Zambia Lusaka.
Wakati huo wote kampuni ya Scandinavia ilikuwa chini ya mkurugenzi na mwanzilishi wake MR.MUHAMED ABDULLAH.
Kampuni ya Scandinavia ilianza kutumia mabasi ya kisasa mwaka 1982 na kuanzia hapo walikuwa wakiongeza mabasi kadili ya mahitaji ya kampuni na abiria pia na kufikia jumla ya mbasi 100 ambayo yalikuwa yakitoa huduma za usafiri ndani na nje ya nchi na mengi ya mabasi hayo yalikuwa ni ya kisasa yaliyonunuliwa kutoka kiwanda cha SCANIA na MARCOPOLO kilichopo nchini BRAZIL
4. KISWELE
View attachment 2054432
Kiswele ndilo basi la kwanza Tanzania kuwa na injini nyuma.
Basi hili likitamba sana siku za nyuma na miongoni mwa njia ilizotamba ni Dar- Mbeya, Dar - Tunduma, Dar- Songea.
Mpaka leo hili basi linakumbukwa
5. SUMRI
View attachment 2054445
View attachment 2054448
Kampuni hii sasa haipo tena. Kampuni hii ilivuma sana ikihudumu njia ya Dar -Mbeya, Dar- Sumbawanga na Mbeya- Sumbawanga.
6. NGORIKA
View attachment 2054451
Kampuni hii kongwe imehudumu miaka mingi ikifanya safari zake kati ya Dar na Arusha.
Vijana wengine ni shidaaa enzi hizo tuko sekondari kuna madogo walichukua Bus la baba yao linaitwa LANG'ATA BUS (Trip za Arusha to Dar) wakaja nalo shuleni aiseeee... Hii kampuni enzi hizo ilikuwa inachuana na NGORIKA BUS..kwani si kweli watoto wanafuja mali za kampuni kwa starehe... kampuni aliyoijenga kwa tabu alafu watoto wanakuja kula bata tu.. hamna wanachokijua
Matandu ilikuwa balaa, tuliwahi kulala wiki nzima mpaka ikaletwa boti ndogo kutufaulisha.huyu bila shaka alikuwa mmoja wa miamba ya kusini....yeye na mwenzie amit simba.....dah ile nangurukuru na matandu walikuwa wanapasua kama kuna lami vile....tumetoka mbali sana...
Air msae alibadili jina sababu ya ajali akajiita metroMkuu samahani naona msae kabla yake pameandikwaje?
Wababe wa njia ya kusini hawaMzigo wa AkidasView attachment 2054666
Kuna ile ajali mbaya ya ABOOD BUS ambapo Lori lililokuwa limebeba bulldozer lilivaana na Bus. Yaani lile jembe la bulldozer likawakata watu vibaya sana daaah...Nashangaa wadau wamejisahaulisha zamani ilikuwa huwezi kutaja route ya Dar Moro bila kuwagusa Islam,Sadiq Line,Hood na Abood..Hizo gari zilikuwa na upinzani wa hali ya juu kinoma kama vita vile halafu huwezi kuamini ukiambiwa wamiliki wa basi hizo wote wana relationship nzuri sana na wanasaidiana wakati wa matatizo..Enzi hizo Sadiq Line wakati anaanza akataka kutembelea kiki ya ushindani na Hood akakuta vijana wa Hood enzi hizo tupo moto tumeprint hadi fulana wachangamfu kinoma sio wale Dar au wale wa Moro wote tupo machachali kinoma basi tukampiga kijembe tukaandika mabasi yetu "jino moja mswaki wa nini!?" Hapo ilikuwa ni kijembe kwa sadiq line aliyetaka kushindana na sisi wakati alikuwa na basi moja tu wakati anaanza basi na wao walivyokuwa watata wakajibu eti "meno mengi lakini yote mabovu" enzi hizo usipokuwa na team nzuri ya wapiga debe huambulii abiria sisi tulikuwa na wapiga debe enzi zile Abood alikuwa anapata ajali sana basi wapiga debe wetu wakimuona abiria anapanda Abood wanaenda kumlilia [emoji23][emoji23]aloo ukiwa na roho ndogo unaweza kuhairisha kupanda abood watu wanakulilia design ile "anaenda kufa jamaniii mama weee" Halafu basi kama halijajaa pale stend kulikuwa na hela maalumu ya wapiga debe boss alikuwa ananipa mimi inspector niende nkawarushie sandakalawe wapiga debe basi nikifika Kibaha namwaga mahela,Chalinze,Mlandizi halafu huyo nashuka narudi Dar mpaka gari linafika Moro abiria wote nawekewa mimi hakuna basi lolote linaloweza kutuovertake kuchukua abiria wapiga debe walikuwa wananikubali kinoma nikikutana nao wengine wanashangaa jinsi nilivyobadilika kama sio mimi vile
Daah akamba bango la ofisi zao mpaka leo lipo pale gerezaniKuna akamba ya kenya na wenyewe ni wakongwe sana tawfiq takrim enzi hizoView attachment 2055010View attachment 2055008View attachment 2055007View attachment 2055011View attachment 2055009View attachment 2055012View attachment 2055013
Nmeshangaa sana hili la dabaga na bado lipo onlineWewe Buji Buji picha hii umeitoa wapi? Gari la kijijini kwetu hili na kaulimbiu yake "UENDE LIPWELA"Buji Buji [emoji113][emoji2772]sikuwezi
Ngorika watoto wapo na mabasi kwa majina mengine. Kiswele hatari, Sumri genesis yake Mbeya-Swanga, Tawaqal amazing, Summry luxury and Scandinavia luxury ni habari ya dunia1. TAWAQAL EXPRESS
View attachment 2054358
Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea.
Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI.
Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7 mchana.
2. SHABAHA EXPRESS
View attachment 2054378
Kampuni hii ilibamba sana miaka ya nyuma ikisafirisha abiria kati ya Dar na Arusha. Jamaa walikuwa wakishindana na wakongwe wa zamani kama Ngorika, Dar EXPRESS nk
3. SCANDINAVIA EXPRESS
Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee ya kitanzania iliyowahi kutokea kwa kuwa na huduma za uhakika na za viwango vya hali ya juu kabisa kulinganisha na huduma zinazotolewa na kampuni za sasa. Kampuni hii ilijijengea jina kubwa na sifa nzuri ndani na nje ya nchi kwa huduma bora walizokuwa wakizitoa kwa abiria wake na pia kuliletea sifa taifa la Tanzania kwa kujulikana kuwa na mabasi ambayo ni quality na high class.
View attachment 2054407
Kampuni ya Scandinavia ilianzishwa zaiidi ya miaka thelathini na tano (35) iliyopita ikiwa na mabasi machache tu aina ya LEYLAND na ilipofika mwaka 1982 kwa mara ya kwanza Scandinavia walinunua basi lao la kwanza la kisasa kutoka kampuni ya SCANIA TANZANIA COACHES aina ya SCANIA ambalo kutokana na ubora wake na uzuri wake kwa kipindi hicho waliamua kulitumia kwa safari yao mpya waliyoianzisha ya Dar es salaam hadi Iringa.
BASI LA KWANZA LA KISASA KUNUNULIWA NA SCANDINAVIA 1982
Kadiri mahitaji ya usafiri yalivyokuwa yakiongezeka ndipo michirizi ya rangi ya BLUU,KIJIVU na NYEKUNDU ikaanza kuonekana katika mabasi mengi zaidi yaliyokuwa yakisafirisha abiria karibia kila kona ya Tanzania.
Ilipofika mwaka 2001 kampuni ya Scandinavia walianzisha safari yao ya kwanza kabisa kutoka nje ya nchi kwa safari ya Dare es salaam hadi Nairobi nchini Kenya,ambapo mafanikio ya ruti hiyo yalipelekea kuzaliwa kwa ruti nyingine kati ya Nairobi hadi Mombasa na Mombasa hadi Dar es salaam. Katika mwaka wa 2002 kampuni ya Scandinavia walipanua wigo wa huduma zao kwa kuanza ruti mpya ndani ya Afrika mashariki kwa safari za Dare es salaam hadi Kampala nchini Uganda.
Ilipofika mwaka 2003 kampuni ya Scandinavia ilipanua wigo zaidi kwa kuanza kwenda katika mji mkuu wa nchi ya Zambia Lusaka.
Wakati huo wote kampuni ya Scandinavia ilikuwa chini ya mkurugenzi na mwanzilishi wake MR.MUHAMED ABDULLAH.
Kampuni ya Scandinavia ilianza kutumia mabasi ya kisasa mwaka 1982 na kuanzia hapo walikuwa wakiongeza mabasi kadili ya mahitaji ya kampuni na abiria pia na kufikia jumla ya mbasi 100 ambayo yalikuwa yakitoa huduma za usafiri ndani na nje ya nchi na mengi ya mabasi hayo yalikuwa ni ya kisasa yaliyonunuliwa kutoka kiwanda cha SCANIA na MARCOPOLO kilichopo nchini BRAZIL
4. KISWELE
View attachment 2054432
Kiswele ndilo basi la kwanza Tanzania kuwa na injini nyuma.
Basi hili likitamba sana siku za nyuma na miongoni mwa njia ilizotamba ni Dar- Mbeya, Dar - Tunduma, Dar- Songea.
Mpaka leo hili basi linakumbukwa
5. SUMRI
View attachment 2054445
View attachment 2054448
Kampuni hii sasa haipo tena. Kampuni hii ilivuma sana ikihudumu njia ya Dar -Mbeya, Dar- Sumbawanga na Mbeya- Sumbawanga.
6. NGORIKA
View attachment 2054451
Kampuni hii kongwe imehudumu miaka mingi ikifanya safari zake kati ya Dar na Arusha.
Iyo kampuni mpaka leo bado ipo🙌🙌🙌Sijaona bado super najmunisa enzi hizo vumbi tunalianzia dom mpaka shy. Asee wale ndio walikua madereva sio wa siku hizi kitu cha yuton hata hupati zile kash kash
Aisee! Biashara Ina mbinu nyingi Sana. Ahsante kwa kutufunza na kutukumbusha.Nashangaa wadau wamejisahaulisha zamani ilikuwa huwezi kutaja route ya Dar Moro bila kuwagusa Islam,Sadiq Line,Hood na Abood..Hizo gari zilikuwa na upinzani wa hali ya juu kinoma kama vita vile halafu huwezi kuamini ukiambiwa wamiliki wa basi hizo wote wana relationship nzuri sana na wanasaidiana wakati wa matatizo..Enzi hizo Sadiq Line wakati anaanza akataka kutembelea kiki ya ushindani na Hood akakuta vijana wa Hood enzi hizo tupo moto tumeprint hadi fulana wachangamfu kinoma sio wale Dar au wale wa Moro wote tupo machachali kinoma basi tukampiga kijembe tukaandika mabasi yetu "jino moja mswaki wa nini!?" Hapo ilikuwa ni kijembe kwa sadiq line aliyetaka kushindana na sisi wakati alikuwa na basi moja tu wakati anaanza basi na wao walivyokuwa watata wakajibu eti "meno mengi lakini yote mabovu" enzi hizo usipokuwa na team nzuri ya wapiga debe huambulii abiria sisi tulikuwa na wapiga debe enzi zile Abood alikuwa anapata ajali sana basi wapiga debe wetu wakimuona abiria anapanda Abood wanaenda kumlilia [emoji23][emoji23]aloo ukiwa na roho ndogo unaweza kuhairisha kupanda abood watu wanakulilia design ile "anaenda kufa jamaniii mama weee" Halafu basi kama halijajaa pale stend kulikuwa na hela maalumu ya wapiga debe boss alikuwa ananipa mimi inspector niende nkawarushie sandakalawe wapiga debe basi nikifika Kibaha namwaga mahela,Chalinze,Mlandizi halafu huyo nashuka narudi Dar mpaka gari linafika Moro abiria wote nawekewa mimi hakuna basi lolote linaloweza kutuovertake kuchukua abiria wapiga debe walikuwa wananikubali kinoma nikikutana nao wengine wanashangaa jinsi nilivyobadilika kama sio mimi vile
Ilikufa kwa sababu gani nayo hii? Kama una info.Ni kweli kabisa mpaka sasa sijaona kampuni iliyofikia viwango vya juu kama hawa jamaa. Pale head office yao Kamata ukifika utadhani umeingia airport ndogo [emoji12][emoji12]
Na ile iliyopo mizani ya wami shida ni nini mzee?Kiswele ilikuwa inatumia masaa mawili tu from Dar to Moro believe me!! ikiwa inashusha mlima kuitafuta msamvu mnaisikia sauti yake hiyooo mnajua kabisa hii ni Kiswele bjnafsi nimefanya kazi Hood Limited kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010 mpaka ikafikia kipindi nikawa family friend wa wamiliki ikizingatia kwamba pia walikuwa wanafahamiana na baba yangu before..Nilipiga mzigo pale enzi zile Hood ni Hood hata nilipomaliza chuo sikuona umuhimu wa kuendelea na kazi nyingine kutokana na mavumba yaliyokuwa yanapatikana hapo na mimi ndio nilitoa wazo la kuwa na route ya Nairobi Arusha hapo ndio nikazidi kugongelea msumari wa kuaminiwa lakini kizuri hakidumu niliamua kufanya majukumu yangu mengine kabisa kwa hiyari baada ya kuhitaji changamoto mpya lakini maboss zangu ambao walinilea bado nipo nao karibu mpaka kesho hasa watoto zake..Hood sio kama amefirisika hapana ukweli ni kwamba kulitokea mgogoro mzee mwenyewe akiwatuhumu watoto kuwa wanafuja mali za kampuni kwa kutumia hela kwa starehe hivyo hana nia ya kuendelea na biashara hiyo ingawa bado kampuni ilikuwa top na tulikuwa kwenye process ya kuorder mabasi mapya makaliii so akaifunga taratibu kampuni mabasi kayafungia ndani na mengine anauza kwa bei ya kutupa mgogoro huu ulikuwa hasa kati ya mzee na watoto wake hasa Tiffu na Saidy ambao ni wakubwa na ndio walikuwa wakurugenzi ukiachana na yule mwingine aliyekuwa uarabuni mpaka leo Hood Hood..mzee kaamua kuwekeza kwenye biashara nyingine kama kwenye Real estates na kununua hisa kwa baadhi ya makampuni kama Azania..asante kwa uzi huu
View attachment 2054530
Halafu kulikuwa na NGORIKA T 150 AAD.Hiyo Ngorika ilikuwa inamwaga moto balaa
T110ACM
"M A C E D O N I A"
Mama yangu ulikuwa huambii kitu kuhusu HOOD,ile logo ya aigle(eagle) kila nikitafuta ya kushindana nayo sijaona...tangu nianze kuzipanda kutoka mbeya kwenda moshi sikuwahi kushuhudia ikiovertekiwaKiswele ilikuwa inatumia masaa mawili tu from Dar to Moro believe me!! ikiwa inashusha mlima kuitafuta msamvu mnaisikia sauti yake hiyooo mnajua kabisa hii ni Kiswele bjnafsi nimefanya kazi Hood Limited kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010 mpaka ikafikia kipindi nikawa family friend wa wamiliki ikizingatia kwamba pia walikuwa wanafahamiana na baba yangu before..Nilipiga mzigo pale enzi zile Hood ni Hood hata nilipomaliza chuo sikuona umuhimu wa kuendelea na kazi nyingine kutokana na mavumba yaliyokuwa yanapatikana hapo na mimi ndio nilitoa wazo la kuwa na route ya Nairobi Arusha hapo ndio nikazidi kugongelea msumari wa kuaminiwa lakini kizuri hakidumu niliamua kufanya majukumu yangu mengine kabisa kwa hiyari baada ya kuhitaji changamoto mpya lakini maboss zangu ambao walinilea bado nipo nao karibu mpaka kesho hasa watoto zake..Hood sio kama amefirisika hapana ukweli ni kwamba kulitokea mgogoro mzee mwenyewe akiwatuhumu watoto kuwa wanafuja mali za kampuni kwa kutumia hela kwa starehe hivyo hana nia ya kuendelea na biashara hiyo ingawa bado kampuni ilikuwa top na tulikuwa kwenye process ya kuorder mabasi mapya makaliii so akaifunga taratibu kampuni mabasi kayafungia ndani na mengine anauza kwa bei ya kutupa mgogoro huu ulikuwa hasa kati ya mzee na watoto wake hasa Tiffu na Saidy ambao ni wakubwa na ndio walikuwa wakurugenzi ukiachana na yule mwingine aliyekuwa uarabuni mpaka leo Hood Hood..mzee kaamua kuwekeza kwenye biashara nyingine kama kwenye Real estates na kununua hisa kwa baadhi ya makampuni kama Azania..asante kwa uzi huu
View attachment 2054530