TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

Tawaqal
Zainabu
Masiah
M Sleeping Coach
Matema Beach
Scandinavia Express
Kiswele
Executive
Hood ltd
Safina
Embakassy
Lupelo
Sayuni
+ , Tunyande.
Happy Nation(hili linastahili lingeitwa basi la mashindano).
Na kwa wakazi wa Mbeya kulikuwa na basi maatufu sana,likipiga roote za Mbeya mjini kwenda Rujewa lilitwa "Hot bolt,Mukufwana mukungeta".
 
Sabco sina hamu nayo na siwezi sahau ile ajali ya 2007 pale Chimala nilikuwepo na nikampoteza rafiki yangu
Da pole sana ilikuwa mwezi gani kamanda, ila miaka ile mabasi yalikuwa yanatembea barabara haikuwa na magari mengi na traffic walikuwa maeneo machache sana
 
Kuna basi la Dar-Mbeya liliitwa Scanlink nilipanda mara moja nikajiapiza sipandi tena lilikuwa refu kama treni linasepa sio poa
 
Only legends watayatambua haya
Screenshot_20211224-223444_Twitter.jpg
 
Ruvuma line tours walianza miaka ya 90 wakiwa na Kia(chai maharage) wakipiga ruti Songea- Peramiho, Kisha Songea-Mbinga, wakaongeza DCM kadhaa wakati huo wakijulikana kama Sadi movement . Walivyoendelea kukua waliongeza ruti ya Songea- Mbeya. Mtaji ulivyokua waliachana na ruti hizo wakaanza ruti ya Dar -Songea wakitumia jina la Ruvuma line tours mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ushindani wa ruti hii uliwashinda wakarudi ruti zao za Songea- - Mbinga, to Mbambabay, Tunduru wakitumia majina ya Sajda, Kangaulaya, nk. Mpaka leo wamekomaa na ruti za Kyle tu
 
Mkuu Ruvuma tours line walikuwa ni hawa ndugu sajda, kangaulaya na makeo!!!! Daaaa watu wanapambana. Nadhani enzi hizo alikuwa ni mzee wao maana sahizi hao sajda, kangaulaya na makeo ni watoto
 
Ruvuma line tours walianza miaka ya 90 wakiwa na Kia(chai maharage) wakipiga ruti Songea- Peramiho, Kisha Songea-Mbinga, wakaongeza DCM kadhaa wakati huo wakijulikana kama Sadi movement . Walivyoendelea kukua waliongeza ruti ya Songea- Mbeya. Mtaji ulivyokua waliachana na ruti hizo wakaanza ruti ya Dar -Songea wakitumia jina la Ruvuma line tours mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ushindani wa ruti hii uliwashinda wakarudi ruti zao za Songea- - Mbinga, to Mbambabay, Tunduru wakitumia majina ya Sajda, Kangaulaya, nk. Mpaka leo wamekomaa na ruti za Kyle tu
FB_IMG_16222303329045655.jpg
 
+ , Tunyande.
Happy Nation(hili linastahili lingeitwa basi la mashindano).
Na kwa wakazi wa Mbeya kulikuwa na basi maatufu sana,likipiga roote za Mbeya mjini kwenda Rujewa lilitwa "Hot bolt,Mukufwana mukungeta".
Umesahau Majira na Father Caplitani mabasi ya waburushi nayo yalikuwa yakienda Usangu.

Pia kulikuwa na Ntenga Tengamoyo. USAFIRI MILIMANI, LINOLINO, MGANGALUMA, MWAILUBI ETC MIZUNGUKO HIYO
 
Back
Top Bottom