TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

Du Masikini Mange Kimavi! Ulaji wake ndo Kwishney sijui atapata wapi madolari ya Kuhudumia Life aliyoizoea for these past two Years๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.Umbeya wake kwenye App yake kwa Wazaramo Wa Tanganyika ndo basi tena kwishney
 
Wamefungia porn site wameona tumepata option nyingine ya VPN nayo wanachimba mikwara.
Wengine hatuwezi kupiga mgalala bila kuangalia x video
Hapa Mrengwa Mkubwa ni App ya Mange Kimambi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! Yule dada asipokufa kwa Presha mwaka huu sijui! Na Bado yupo Honeymoon ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Taarifa rasmi ni kwamba.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi (VPN) hayazuiliki, kutoa taarifa TCRA juu ya VPN wanazotumia na taarifa zote muhimu ikiwemo anuani ya itifaki ya mtandao kabla ya Oktoba 30, mwaka huu.

Aidha, TCRA imesema itaendelea kuchukua hatua za kiudhibiti dhidi ya matumizi ya VPN yasiyo halali ikiwemo kuzuia upatikanaji wa VPN ambazo hazijatolewa taarifa au kusajiliwa na kuongeza kuwa, yeyote atakayebainika adhabu yake ni faini isiyopungua TZS milioni 5 au kifungo cha mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ