100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
TCRA itakuwa wanawatishia meta ya kwamba wasipofuata hayo maelekezo watai block meta Tanzania ka ailivyotokea kwa twitter.META nao wametii ombi la serikali ya Tanzania?
Aje X alianzishe upya, mapambano hayaishi, huyu dada amekuwa speaker wa wengi...I don't like her attitude ila kwa kinachoendelea wacha afanye.
Asante Kwa masahihisho MkuuTCRA itakuwa wanawatishia meta ya kwamba wasipofuata hayo maelekezo watai block meta Tanzania ka ailivyotokea kwa twitter.
Ni vyema meta wakatae kupelekeshwa na TCRA ili kusudi waki block na chawa wapate hasara na machungu, maana ni mtandao wao pendwa. Hapo tukose wote tubaki tunawasha VPN.
Mkuu ngara23 rekebisha sio kwamba wamemfungia Mange, ila kuna baadhi ya posts hazionekani Tanzania lakini ukiwasha VPN zinaonekana.
Mpaka kieleweke.
Wamezoea kupiga rungu hoja!Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi
Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli
Serikali haitaki kuona apartments za Abdul
Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo
Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump
Vita Bado mbichiView attachment 3488673View attachment 3488674
View attachment 3488675
Huku kwetu Mello ndio mkombozi wetu anakubali kuishi kama Digidigi kwa ajili yetuMange ndio mkombozi wetu anatuhamasisha sana ikitokea wakafungia mitandao sijui itakuaje kwasababu watz bila hamasa hawaendi kabisa, ngoja tuone mwisho wake.
More than enoughWanafanya kazi nzuri mno
Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump
ndio tunashanga wanahangaika na Mange apigwe pin huko insta. Sijui kama Meta watakubali kulingana na sera zaoMeta ni wafanya biashara hawapo tayari wapoteze biashara Yao TANZANIA kisa Mange
Apple walimlinda gaidi dhidi ya FBI.Meta ni wafanya biashara hawapo tayari wapoteze biashara Yao TANZANIA kisa Mange
Hakuna nchi duniani iliyo 100% freeNchi ya hovyo sana hii.
Hii imezidi imejaa upuuzi mwingi.Hakuna nchi duniani iliyo 100% free
We love Russia China Brazil wtc
Try them