Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!