Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia😂Demi and Evelyn Salt liked this.....😹
Swali la msingi Kama huoi jekuoa sio lazima ni hiari
Kabisa kupanga ni kuchagua kutokuoa kbs hapana tutachelewa ila tutaoa.Anayetaka kuoa na aoe , asiyetaka asioe. Mnalazimishana why?
mwanamke akishika ujauzito tunaendeleza kizazi cha kataa ndoaSwali la msingi Kama huoi je
1)wewe ni padri? Au Buddha?
2)Je hauna matatizo yoyote ya nguvu za kiume?
Let's say umeamua tu SIOI je utaweza kuishi maisha yako yaliyobaki bila kufanya mapenzi au ndiyo HIT AND RUN? ikitokea mwanamke wako akashika ujauzito unatengeneza kizazi gani??
Kifupi tu hali ya uchumi mkuu ndo inasababisha yote haya.Swali la msingi Kama huoi je
1)wewe ni padri? Au Buddha?
2)Je hauna matatizo yoyote ya nguvu za kiume?
Let's say umeamua tu SIOI je utaweza kuishi maisha yako yaliyobaki bila kufanya mapenzi au ndiyo HIT AND RUN? ikitokea mwanamke wako akashika ujauzito unatengeneza kizazi gani??
Mada kama hizi huanzishwa na mafeminist wasioolewaaa ilia mpate waume labda nikuambie tu dada POLE SANA na bado hujasemaKumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!
billgate pamoja na kuwa tajiri lakini bado ndoa yake ilivunjikaShida ni nini? Kama pesa iko
shida kubwa ni uhuruShida ni nini? Kama pesa iko