Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kuolewa ni jambo jema acha kujiliza nimetukana wapi hapo?Siku ukijiona una FACTS za kuongea tofauti na MATUSI, Basi karibu Tujadili.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuolewa ni jambo jema acha kujiliza nimetukana wapi hapo?Siku ukijiona una FACTS za kuongea tofauti na MATUSI, Basi karibu Tujadili.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
huna baya ukifa hauoziAsante DJ kwa kunileta na ngoma ya ""Tunagonga sanaa wake zenu""
Ndugu mleta mada naomba nishike maiki halafu nakujibu kwa paragraph zako za ajaaabu ulizopost ....
1. Nani amekwambia anaogopa familia, Kwani nini maana ya Familia, Hebu rudia "Types of families" kwenye elimu yetu ya Form two.
Mimi binafsi nina familia, ila SINA MKE na wala SIHITAJI MKE.
2. Kuoa hawana uhusiano wowote na uongozi.
Kuna wateuliwa wa raisi kibaoo hawana ndoa.
Kuna matajiri wana miliki ""multiple businesses"" wanaziendesha biashara zao balaa ila hawana ndoa.
Nafikiri uliposema "Sinza" umemaanisha wakataa ndoa ni wanaume wa hovyo, sasa iko hivi, mimi binafsi nina maisha yangu safi tu na naheshimika tu vizurii serikalini ila ndio hivyo "In JF we are ghosts" siwezi reveal ID yangu.
3. Narudia tena, sisi ni wanaume wa heshima tu.
Na ndoa haina uhusiano wowote na kutomb(a)
4. Kwahiyo wewe huoni, mnavyogongewa, mnavyo dhurumiwa, mnavyofokewa na wanawake na menginee kibaoo. MNAFIKIRI HATUYAONI BRAZA MNAYOFANYIWA NA WAKE ZENU??
5. Ushasema Mungu aliagiza "Kuzaa na kuongezeka" ila sio kuoana.
6. Narudia tena kutomb(a) hakuna uhusiano wowote na ndoa.
Kama ni umalaya, waume za watu ni malaya, wake za watu ni malaya.
Kifupi malaya ni malaya tu.
CC.
Katibu dronedrake - Aione kwenye jalada
Nakala kwa:-
Wajumbe wote wa CMT yetu ya chama.
Wenu, Mwenyekiti.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuzaliana sio lazima ndoa,halafu acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya wtu wengine usio walusha wala kuwavisha,ukioa wewe inatosha,shenzi.Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!
Mtoto akililia wembe mpeHili kombora ni zito mkuu, ungetumia risasi
Ni ugaidiNdoa ni uhaini..☹️
If you want to sell your freedom get married
Baadili yapi hayo unayoyasemea wewe. Embu nenda kawaambie Mapadri wa Katoliki hawana maadili sababu hawaoi.Demi hapa tunaongelea maadili ya kizazi hiki, lazima watuambie sababu ipi?
Huwa unapolea wap au sheria mkononi 😂😂Ndugu mleta uzi Papa Fransis hana mke na anaiongoza sehemu kubwa ya hii dunia, jambo la kwanza ndoa sio kipimo cha uwezo wa kiuongozi.
Kwanini tuna KATAA NDOA zipo sababu nyingi ila wewe jua tu bado tupo na kampeni moja tu ya KATAA NDOA
Ndoa ni uhujumu mkuu...🤣😂😂😂😂Namsubiri MR LIVERPOOL! mtuambie tatizo ni nini wanaume wanakuwaje waoga... Ndio wale wanaacha nyumba walizojenga wanawakimbia wake zao
Ujana maji ya moto.. Waache kwanza wajichetue ni wakati waoKumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!
Good!Asante DJ kwa kunileta na ngoma ya ""Tunagonga sanaa wake zenu""
Ndugu mleta mada naomba nishike maiki halafu nakujibu kwa paragraph zako za ajaaabu ulizopost ....
1. Nani amekwambia anaogopa familia, Kwani nini maana ya Familia, Hebu rudia "Types of families" kwenye elimu yetu ya Form two.
Mimi binafsi nina familia, ila SINA MKE na wala SIHITAJI MKE.
2. Kuoa hawana uhusiano wowote na uongozi.
Kuna wateuliwa wa raisi kibaoo hawana ndoa.
Kuna matajiri wana miliki ""multiple businesses"" wanaziendesha biashara zao balaa ila hawana ndoa.
Nafikiri uliposema "Sinza" umemaanisha wakataa ndoa ni wanaume wa hovyo, sasa iko hivi, mimi binafsi nina maisha yangu safi tu na naheshimika tu vizurii serikalini ila ndio hivyo "In JF we are ghosts" siwezi reveal ID yangu.
3. Narudia tena, sisi ni wanaume wa heshima tu.
Na ndoa haina uhusiano wowote na kutomb(a)
4. Kwahiyo wewe huoni, mnavyogongewa, mnavyo dhurumiwa, mnavyofokewa na wanawake na menginee kibaoo. MNAFIKIRI HATUYAONI BRAZA MNAYOFANYIWA NA WAKE ZENU??
5. Ushasema Mungu aliagiza "Kuzaa na kuongezeka" ila sio kuoana.
6. Narudia tena kutomb(a) hakuna uhusiano wowote na ndoa.
Kama ni umalaya, waume za watu ni malaya, wake za watu ni malaya.
Kifupi malaya ni malaya tu.
CC.
Katibu dronedrake - Aione kwenye jalada
Nakala kwa:-
Wajumbe wote wa CMT yetu ya chama.
Wenu, Mwenyekiti.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mitano tena mwenyekiti umeupiga mwingi sana kumuelewesha huyu mtoa mada. KATAA NDOAAsante DJ kwa kunileta na ngoma ya ""Tunagonga sanaa wake zenu""
Ndugu mleta mada naomba nishike maiki halafu nakujibu kwa paragraph zako za ajaaabu ulizopost ....
1. Nani amekwambia anaogopa familia, Kwani nini maana ya Familia, Hebu rudia "Types of families" kwenye elimu yetu ya Form two.
Mimi binafsi nina familia, ila SINA MKE na wala SIHITAJI MKE.
2. Kuoa hawana uhusiano wowote na uongozi.
Kuna wateuliwa wa raisi kibaoo hawana ndoa.
Kuna matajiri wana miliki ""multiple businesses"" wanaziendesha biashara zao balaa ila hawana ndoa.
Nafikiri uliposema "Sinza" umemaanisha wakataa ndoa ni wanaume wa hovyo, sasa iko hivi, mimi binafsi nina maisha yangu safi tu na naheshimika tu vizurii serikalini ila ndio hivyo "In JF we are ghosts" siwezi reveal ID yangu.
3. Narudia tena, sisi ni wanaume wa heshima tu.
Na ndoa haina uhusiano wowote na kutomb(a)
4. Kwahiyo wewe huoni, mnavyogongewa, mnavyo dhurumiwa, mnavyofokewa na wanawake na menginee kibaoo. MNAFIKIRI HATUYAONI BRAZA MNAYOFANYIWA NA WAKE ZENU??
5. Ushasema Mungu aliagiza "Kuzaa na kuongezeka" ila sio kuoana.
6. Narudia tena kutomb(a) hakuna uhusiano wowote na ndoa.
Kama ni umalaya, waume za watu ni malaya, wake za watu ni malaya.
Kifupi malaya ni malaya tu.
CC.
Katibu dronedrake - Aione kwenye jalada
Nakala kwa:-
Wajumbe wote wa CMT yetu ya chama.
Wenu, Mwenyekiti.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
waache waacheAsante DJ kwa kunileta na ngoma ya ""Tunagonga sanaa wake zenu""