DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimeuliza swali hilo kwa makusudi, kabla hatujafika huko tutumie familia yenu Kama case study maana waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka!
Baba yako na mama yako wanakaa/walikaa pamoja au umelelewa na singo maza?
Mkuu unaelewa maana ya neno familia .
Familia - unaitengeneza wala haina uhusiano wa kuwa na mke wala mtoto.
Mfano Mimi sina mke wala mtoto Ila nina familia.
Familia unaitengeza ni man-made haina uhusiano na kuoa au kuolewa