Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tunachofanya domaan nasem tutachelewa kuoa.Kwanini tusipambane kuuboresha uchumi wetu
una housegirl na watoto unaita familia bila mother house? 😂Ndugu mleta mada kabla hujaleta makasiriko hapa ulitakiwa kutulia kwanza uandike fact zinazoeleweka
1. Uongozi bila mke. papa anaongoza maelfu ya wakatoliki na hajawahi kuoa hivyo hoja yako hii haina mashiko
2. Familia. Sisi KATAA NDOA hatukatai familia ila hatutaki kukaa kifungoni na mtu( mwanamke) kwa kivuli cha NDOA. na wengine familia tunazo ila wake hatuna
Kufunga ndoa na mtu ni kukubali kujinyima raha wewe ili mwenzako afurahi ujinga mtupu.
KATAA NDOA, NI UTAPELI NA ULAGHAI, ISHI KWA FURAHA BILA KUFUNGAMANA NA YEYOTE
No one careHata msipooa..who cares?
Kwahiyo mke ndo familia??una housegirl na watoto unaita familia bila mother house? 😂
kinachokataliwa ni ndoa tu ila wewe hata ukiweza kuwa na wanawake 10 kuwa na tu sio tatizo.Huwa unapolea wap au sheria mkononi 😂😂
kinachokataliwa ni ndoa tu ila wewe hata ukiweza kuwa na wanawake 10 kuwa na tu sio tatizo.
Mnatakiwa mjue kutofautisha iyo mifumo miwili. Kataa ndoa na kataa ngono ni vitu viwili tofauti kabisa
Kabisa, inatumika nguvu kubwa sana kutulazimisha kuoa ila wao hawataki kuukubali ukweli kuwa mfumo wa ndoa ni mfumo kandamizi kwa mwanaume.Wanatumia hoja dhaifu za kusema kataa ndoa ni
Mashoga
Hawana nguvu za kiume
N.k
Hizi hoja dhaifu haziwezi kumfanya MTU aoe.
Ukitaka umfanye MTU aoe mwambie mambo mazuri yanayopatikana katika ndoa na umuhimu wake .
Kabisa, inatumika nguvu kubwa sana kutulazimisha kuoa ila wao hawataki kuukubali ukweli kuwa mfumo wa ndoa ni mfumo kandamizi kwa mwanaume.
Kwahiyo unataka tuanze kukufundisha types of family??Familia utaipataje bila mke?
Sio kweli hawa vijana walio oa wanalazimsha kila mtu awe kama wao ,kuna tatizo kubwa sana la watanzania kuhamasishana mambo yanayowashinda hata wao.Tatizo hawanyooshi maelezo, wanamaanisha wanataka kuolewa nyie ndo hamuwaelewi tu
Kuoa ni jambo la hiyari ya mtu .
Nimeuliza swali hilo kwa makusudi, kabla hatujafika huko tutumie familia yenu Kama case study maana waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka!Kwahiyo unataka tuanze kukufundisha types of family??
Tofautisha FAMILIA na NDOA
Yap mwenye uhitaji na ndoa anaweza kuvuta ndoa ,japo sijaelewa vizuri mkuu.Katika law of attraction na ndoa unaweza kuona mfanano uliopo ?
Wajukuu wanapatikana bila ndoa. Wapo wengi tuFamily, cares tunataka wajukuu