Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Cheki huyu nae...

Familia yangu haihusiani hapa, kila mtu ana maamuzi ya kuchagua namna ya kupanga maisha yake.

Babu zetu walivaa magome, je na sisi tuvae magome?... Tutembee peku?... Tukawinde msituni?

Toa hoja kutetea upande wako kwann mtu aoe ili hali kila kitu unakipata bila kifungo (ndoa)??
Nimependa tutumie familia yako maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!! Je ukipata mtoto wa kike utamfundisha akatae ndoa agawe wastani kwa idadi??

Kama hauwezi basi si vyema ukafanya hivyo
 
Hiki chama cha "kataa ndoa " basi tukifute na wanachama wote turudishe kadi
Mkuu sisi wala hatuna kelele tumetulia tu na misimamo yetu, sasa hawa ndugu zetu waliooa kutwakucha kufungua nyuzi kuwahusu kataa ndoa na kuleta visa vyao vinavyoonyesha jinsi ndoa zilivyo chungu na ubaya ni kwamba hawana fact zaidi ya kutuita mashoga
 
Tafuta na umshirikishe Mungu, Tatizo wengi humu wanatafuta mke Kitambaa cheupe /wavuvi kempu /warehouse /kidimbwi /mtandaoni halafu yakiwakuta wanalia
Wanatakiwa watafute wapi
 
Nimependa tutumie familia yako maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!! Je ukipata mtoto wa kike utamfundisha akatae ndoa agawe wastani kwa idadi??

Kama hauwezi basi si vyema ukafanya hivyo
Kugawa wastani kwa idadi , inatokea hata kama ndoa ipo .
 
Back
Top Bottom