Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

1 Corinthians 7:7-8
Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.


Chukua hiyo itakusaidia
 
Hoja yako imekosa mashiko kabisa kwa kuonekana hujui chochote.

Putin hana mke, Holande wa Ufaransa hakua na mke, Jack shiraq wa Ufaransa hakua na mke, Gordon Brown wa UK hakua na mke, Hugo Chavez hakua na mke, James Buchanan rais wa 15 wa Marekani hakua na mke, waziri mkuu wa Luxemburg hana mke ila ameolewa na mwanaume mwenzie.

Rais wa Bolivia aliepita Evo Morales hakua na mke wala mtoto. Orodha ni ndefu sana.
 
Ili uwe misogamists nilazima either uwe little boy or unakosa balance katika utimamu wa mwili na akili.
 
Kwahiyo na wewe uko kama waziri mkuu wa Luxembourg?
 
Hawa jamaa wa KATAA NDOA hawabakii bila sex kumbe hujawaelewa wanasema HIT AND RUN
 
Tatizo sio kuoa, ila baada ya kuoa !
 
Kwahiyo na wewe uko kama waziri mkuu wa Luxembourg?
Hoja yako ya kutaka uolewe kwa nguvu kulazimisha watu ambao hawataki ndoa imekosa mashiko. Unalazimisha uolewe kwa kutoa taarifa za uongo.

Njoo uwe mchepuko wangu niwe nakupiga miti taratibu taratibu. Sharti usiwe na mdomo sana mke wangu akijua nakushikisha ukuta atakuua. Niko tayari kukupangia nyumba yako peke yako ili mradi tu niwe nakufirigua usikose mume.
 
Unasema una mke kwahiyo wewe Siyo team KATAA NDOA?? matusi ya nini mfano huo umeandika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…