Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndoa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako imekosa mashiko kabisa kwa kuonekana hujui chochote.Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!
Hoja yako imekosa mashiko kabisa kwa kuonekana hujui chochote.
Putin hana mke, Holande wa Ufaransa hakua na mke, Jack shiraq wa Ufaransa hakua na mke, Gordon Brown wa UK hakua na mke, Hugo Chavez hakua na mke, James Buchanan rais wa 15 wa Marekani hakua na mke, waziri mkuu wa Luxemburg hana mke ila ameolewa na mwanaume mwenzie.
Rais wa Bolivia aliepita Evo Morales hakua na mke wala mtoto. Orodha ni ndefu sana.
Hawa jamaa wa KATAA NDOA hawabakii bila sex kumbe hujawaelewa wanasema HIT AND RUN1 Corinthians 7:7-8
Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
Chukua hiyo itakusaidia
Kwahiyo walio kule ndo matajiri tu??Umesema hautaki masikini wanawake 😃nikajua wewe ni Tajiri
Tatizo sio kuoa, ila baada ya kuoa !Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane!
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke? Kama umeshindwa kuiongoza familia yako utaongoza taifa lipi? Kila siku kuna nyuzi kibao wanawake wanatafuta kuolewa (Mpaka wanaombewa kwa Mwamposa) halafu mtu mmoja hapo sinza anatype KATAA NDOA!! STUPID
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke tayari kwa kuanzisha familia yake. Siyo ninyi wavaa vinjuga wa huko Sinza.Hivi mnasurvive Vipi au mnapiga punyeto wakuu??
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? Mnawafokea single mama kumbe mliwarubuni?Ni sawa na kuacha kusafiri kisa magari yanapata ajali.
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?
OK UMEKATAA NDOA, je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
ANGALIZO, kama unakataa ndoa kwa sababu ni padre au una matatizo ya nguvu za kiume Uzi huu haukuhusu.
DJ NILETEE MR LIVERPOOL!
😃😃😃😃😃Ndoa ni muungano wa mhuni na tapeli
Muhuni anataka awe na uhakika wa kuondoa upwiru muda wowote akijisikia
Tapeli anataka apate unafuu wa maisha
Cc Xi Jinping
Nimewaambia hivyo wakajinunisha eti nawatukanaWaolewe wao sasa kama hawataki majukumu
Dunia hii ina maajabu kila kukicha
Vijana hawataki ukweliNimewaambia hivyo wakajinunisha eti nawatukana
Imeisha hiyo watajutaVijana hawataki ukweli
Wape tu watake wasitake msg imewafikia
IyeeWatoto wanalala na pesa basi?
WathubutuNgoja waje kukukaanga
Hoja yako ya kutaka uolewe kwa nguvu kulazimisha watu ambao hawataki ndoa imekosa mashiko. Unalazimisha uolewe kwa kutoa taarifa za uongo.Kwahiyo na wewe uko kama waziri mkuu wa Luxembourg?