GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waambie wajinga wenzio, lengo lao hapa ni kumuombea mabaya Samia sababu hawampendi, hiki unachokisema wewe ni unafiki tu uliopitiliza.........
Lakini watanzania hatuna hofu sababu Mungu yupo na hii Nia ovu onayopikwa vizuuuuri na waovu itawarudia wao wenyewe!
 
Katika Ukristu especially Roman Catholic, hakuna sala au programu ya maombi ya kuombea jambo baya kwa mtu, kikundi au nchi. Ikitokea kuna jambo linaonekana halipelekwi sawa, basi ataombewa kwa Mungu huyo kiongozi au kikundi ili liende sawa,
 
Wasitukosanishe tu na wananchi wengine kwa ajili ya kumtetea Tundu Lissu
 
Lengo ni kuiombea nchi na wanaoiongoza. Sidhani kama ni jambo baya, na naamini hata SSH atalifurahia hilo. Soma maudhui:

 
Katika Ukristu especially Roman Catholic, hakuna sala au programu ya maombi ya kuombea jambo baya kwa mtu, kikundi au nchi. Ikitokea kuna jambo linaonekana halipelekwi sawa, basi ataombewa kwa Mungu huyo kiongozi au kikundi ili liende sawa,
The case seems different this time.......Samia amelengwa waziwazi, tena kwa kumtaja kabisa huku polepole akiandaliwa vizuri kabisa kumdhalilisha.
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia
Mtu unasema una chuki. Ibada gani imebariki chuki kama si ya mashetani ?!

Una upungufu mkubwa wa hekima na pendo zinazoongoza ibada. Wewe ni mwehu na uislamu wako.
 
The case seems different this time.......Samia amelengwa waziwazi, tena kwa kumtaja kabisa huku polepole akiandaliwa vizuri kabisa kumdhalilisha.
Unafanya rejea kutoka katika document gani? Naomba unisaidie kuonyesha mahali ambapo SSH anatajwa katika programu hii ya maombi haya, hususani kwa kumuombea mabaya
 
Unafanya rejea kutoka katika document gani? Naomba unisaidie kuonyesha mahali ambapo SSH anatajwa katika programu hii ya maombi haya, hususani kwa kumuombea mabaya
Na mwili wote huo kweli ujifiche kwenye mkaranga halafu utegemee usionekane?!!!!
 
Ila Muslims wana shida hasa wa huku jukwaani, akili mgando

Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍
 

Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia
Kati ya vitu viko wazi kabisa ni kwamba hofu ya kweli ya MUNGU ni chachu ya kuendeleza ubinadamu!
Palipokosekana hofu ya MUNGU hapafai kwa ustawi wa binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…