Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Walimwita pembeni wakamkanya wakamwambia asiyesikia la mguu huvunjika guu. Wao hawatoki hadharani wanafanya kwa vitendo.
Mwambie Gwajima amtukane Pengo mara ya pili uone atakavyokimbilia uvunguni.
 
Sijakutukana ila nimesema kile ambacho nimekiona kwako. Mimi nachofahamu wewe ni binti...
Haya wewe ni nakufananisha na kahaba aliepoteza uelekeo tafuta mwingine wa kurumbana nae Mimi kurumbana na mtu mwenye hulka za kimalaya Malaya sipendelei
 
Tec ndio kina nani hapa Tzn?
 
Rasilimali gani imeuzwa? Imeuzwa shilingi ngapi?
Muulize Musukuma. Kama yeye amelipwa dola 50,000; V8 na nyumba Dubai, hao Wazanzibari unadhani watakuwa wamehongwa kiasi gani?
 
Tupe uthibitisho
Kuna wakati unastahili kutafakari kabla ya kuandika kitu.

Rushwa huwa inatolewa kama umavyonunua shati kiasi kwamba unapata na risiti ili iwe uthibitisho. Ulaji na utoaji rushwa hufanyika kwa siri ndiyo maana huchukua muda kuchunguza na kuupata uthibitisho wa kumyia mtu hatiani.

Kule Djibouti ilichukua miaka 4 kupata uthibitisho wa DP kumpa rushwa mkuu wa bandari ili kuipa upendeleo DP dhidi ya maslahi ya Serikali. Ndipo mkuu wa bandari akatiwa korokoroni, na DP kufukuzwa.

Hata hawa waliopokea rushwa huko Dubai, kuna siku uchunguzi utatimia, na wao kuwajibishwa kadiri ya stahili yao. Uwe na subira.
 
Bado kunafukuta!!!

Karibuni TEC.
 
Wakithibitika walikula RUSHWA mkataba tunauvunja na kuwafurusha DP world!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…