Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Katiba inaruhusu uhuru wa maoni. Kwa nini unaona si sawa wakatumia Uhuru wao?!
Haya maoni mnayatoa akiwa rais muislam tu alivyokuwa mgalatia mwenzenu mlishindana kumsifia
 
Hao ni wapumbavu na wajinga kenge hao wanataka vatican na yule kiongozi wao supporter wa ushoga ndio waje kuichukua bandari?
Utapata stress bure wewe. Kuwa viongozi wa dini hakuwaondolei haki ya utanzania wao wa kutoa maoni au hisia. Huwapendi saga chupa unywe maana utaendelea kuishi nao.
 
Mi nachokaga hapo tu, sikuwahi kuwasikia awamu ile ila sasahivi hadi pini ikidondoka watatoa waraka hawa jamaa ni wanafki sijapata kuona
Unajitoa ufahamu tu. Aliyetoa waraka wa Pasaka ulikuwa wewe? Waache watoe maoni yao kwani ni haki yao. Wewe unaumia nini? Ni watanzania hao ujue.
 
Naunga mkono hoja za mababa Maaskofu. Huu Mkataba ni uhuni
 
Tena hao TEC wamechelewa sana kuja na hilo tamko, hawatakiwi kuona bandari inagaiwa bure kwa wajomba halafu wakae kimya, wasishiriki hii dhambi, wala wasiogope mawazo ya wajinga wanaofikiria kwa vichwa vya dini.
 
Unajitoa ufahamu tu. Aliyetoa waraka wa Pasaka ulikuwa wewe? Waache watoe maoni yao kwani ni haki yao. Wewe unaumia nini? Ni watanzania hao ujue.
Mkuu hatuumii wao kutoa matamko ila hayo matamko yanapotolewa kibaguzi hapo ndio tunapoyapuuza
 
Hii nchi ni ya kikatoliki kabla haijawa ya kiislamu 😀
 
Sio tetesi tena. Wameshatamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…