TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
 
Aliyetoa hizo kauli ni Kitima🤣🤣,Samia au wewe?
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Wewe na nani?
 
Ulaji kwisha, dini imekuwa ngumu, kiongozi unataka haki ila wewe hutaki haki za wengine ktk dini.

Tuseme ni upimbi? Ukasuku? Ulofa? Kuchanganyikiwa? Au ni nini? Bora angekaa kimya kuliko alichokifanya.

Anajua kwanini alitolewa dodoma kipindi chadema ya moto, akaja dsm alijua atakuwa lakini hakuwa.

Wanamcheki tu
 
Ondoa neno chadema kwenye Uzi wangu kwasababu chadema ni laana
 
Back
Top Bottom