TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Unapiga uchawa ukiwa wapi?
 
Hivi huwa mnafikiti TEC ni kama hizo Pumbu zako!!! Uliza kwanza muundo wa TEC.Yale ni PHD yamejaa pale.
PhD za nini? Ebu ziongelee hizo PhD. Kama sio za education, filosofi, na makolokolo ya namna hiyo ili wakatumie kucheza na akili mgando

Umeona ujerumani makanisa yanafungwa na kuuzwa? Kisa ni kukosa waumini.

Hizo PhD zikatumike huko makanisa yasifungwe.
 
Wana PhD of latin language
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Chawa na wazalendo uchwara wafutwe kwanza.
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Nenda wewe kaivunje TEC, Kamvue wewe huo Upadre Fr.Kitima
 
kitima avuliwe upadr
Kitu haujui na kwa vile wewe sio mkatoliki, Kitima anaongea kwa niaba ya TEC yaan tec wanambwambia cha kuongea hata kama akija mwingine inakuwa vile vile TEC hawawezi kutoka wote waongee wanamtuma kitima maana yeye ndiye mtendaji mkuu. TEC sio waropokaji kama labda kama akina ally kamwe na Ahmed Ally
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
 
Attachments

  • Screenshot_20251226_133349.jpg
    Screenshot_20251226_133349.jpg
    90.6 KB · Views: 18
TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana

Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Theology hata credit yake haitambuliki
 
Kitu haujui na kwa vile wewe sio mkatoliki, Kitima anaongea kwa niaba ya TEC yaan tec wanambwambia cha kuongea hata kama akija mwingine inakuwa vile vile TEC hawawezi kutoka wote waongee wanamtuma kitima maana yeye ndiye mtendaji mkuu. TEC sio waropokaji kama labda kama akina ally kamwe na Ahmed Ally
Mm mkatoliki
 
Tec kaza hivo hivo minyoo inaanza kutokea sehemu zilizo wazi .Wakatoriki tuko na TEC mpaka mnywa damu ateme ndoano
 
Kwasasa asiitwe fr aitwe Jina lake mpaka papa atakapoamua juu ya upadri wake
Ataendelea kuitwa Fr.Kitima mpaka pale atakapotiwa hatiani. Unaitwaje mfungwa bila kutiwa hatiani kwa kosa ulilokifanya??
Unaonaga ni rahisi tu mtu kufutwa Upadre?? Kajifunze tena, malofa nyie!
 
Umeanza vzur umemaliza vibaya
 
Tec kaza hivo hivo minyoo inaanza kutokea sehemu zilizo wazi .Wakatoriki tuko na TEC mpaka mnywa damu ateme ndoano
Tusubr tamko la papa kwanza, tusije tukatia aibu
 
Back
Top Bottom