TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Ila uchawa siyo kazi rahisi. Nashauri muongezewe posho.
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Umekula Maharage ya Jana ndiyo maana UN atoa UHARO kama huu!!!
 
MUULIZE YUPO WAPI SASA ? JUST CHECK HER

YOU KNOW WHAT UKWELI NI KITU RELEVANT .

MOD WANYEWE WASINGEFUTA HUO UONGO WANGEUACHA.

HOV OR HAYALAND I DON'T COME FROM ur world I'M THE DIFFERENT PERSON.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mwanzoni nilifikiri umekosea unataka tume ya uchaguzi ivunjwe kumbe TEC basi wewe ni miongoni mwa wale malofa
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Mimi nilitegemea Mama alivyofoka dhidi ya TEC siku ile akihutubia wazee wa Dar,angefuta Kanisa Katoliki Tanzania kama alivyofanya kwa Gwajima.
 
Mbona maaskofu wamepoteza focus wanatutukana kanisani
 
Mwanzoni nilifikiri umekosea unataka tume ya uchaguzi ivunjwe kumbe TEC basi wewe ni miongoni mwa wale malofa
Maaskofu kwa kushirikiana na viongozi wa chadema mnatututana mnasema ss ni malofa
 
Kuwa wew padri kama waona rahisi like kupigiwa kura 31m
Nini padre bana, Nchi hii tangu ipate Uhuru imekuwa na Marais sita tu ila Ma padre kibao tu mtaani uku tunapiga nao Vyombo na Kula Mbuzi katoliki

Nothing special kwenye kuwa padre ila it's very special kuwa Raia namba moja
 
Naunga mkono hoja na naongezea kuwa hilo kanisa katoliki lifutwe kabisa hapa nchini,ahsante
 
Back
Top Bottom