TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

Yule mdada aliyafukua makaburi yako yote, na aliweka na ushahidi wa namba yako ya simu, na ID's zote ulizotumia! Halafu unasema ni uongo!

MUULIZE YUPO WAPI SASA ? JUST CHECK HER

YOU KNOW WHAT UKWELI NI KITU RELEVANT .

MOD WANYEWE WASINGEFUTA HUO UONGO WANGEUACHA.

HOV OR HAYALAND I DON'T COME FROM ur world I'M THE DIFFERENT PERSON.
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.

Wewe roho ya shetani amenyimwa hata ile akili ndogo kabusa!

1. Wewe siyo muumini wa Kristo, labda muumini wa shetani na uchawi.
2. Muumini wa Mungu wa kweli hawezi kumlaumu Fr Kitima ambaye anayaishi maandiko yanayosisitiza upendo na haki kwa sababu Mungu wetu, ni Mungu wa haki. Na katika kauli zake zote, Fr. Kitima amebakia kwenye upendo wa kweli, ndiyo maana amekuwa akionya na kushauri, kuwataka wadhulumaji wabadilike. Na huo ndio ujumbe wa Kristo, hata uwe pekee yako, ukiona kuna mambo yanafanyika kinyume cha mapenzi ya Mungu, unatakiwa kukemea na kuonya ili huyo muovu abadilike na kuiendea njia ya Mungu.

Lakini pia neno la Mungu linasema, inaporakiwa kuonya, onya hata kwa ukali, na ndicho alichofanya Askofu Mkuu Ruaichi. Hilo pandikizi la wauaji, wadhulumaji haki, lililoandika hiyo barua linatakiwa kukemewa, na ikidhihirika kwelialibatizwa, anastahili kutengwa mpaka hapo atakapotubu, nayo ipo kwenye agizo la Mungu, 'Lolote mtakalolifungia Duniani na mbinguni limefungwa'.

Ewe uliyekosa akili na maarifa, usidhani mtu hufukuzwa kwenye upadre kama mnavyowakata majina wagombea wa CCM wanaoonekana gawana viashiria vya kumtumikia vyrma shetani. Upadre ni alama isiyofutika. Hakuna wa kuondoa upadre wa Kitima.
 
Wewe ni punguani usiyejua chochote, aheri ungekuwa unatia ili wasiokufahamu, waamini kuwa na wewe una akili na ufahamu.

Kama hujui vyuo vyote vikuu Duniani, hapo mwanzo vilianishwa na kusimamuwa na Kanisa. Serikali zimeiga kutoka kwa kanisa.

Ufahamu pia kuwa hata mfumo wa sheria, Dunia nzima ilicopy kutoka Cannon law, ambayo imekuwepo kwa kane nyingi, halafu unaropoka tu wakati hakuna usichokijua. Soma hapa, kama una akili japo kidogo, unaweza kupunguza ujinga:

The institution of the university as we know it today (a corporation of masters and scholars with degree-granting power) is a product of the European Middle Ages, not "ancient" times. Many of the earliest European universities had strong ties to the Catholic Church:
Origins: They often evolved from pre-existing monastic and cathedral schools, which were primary centers of education during the Early Middle Ages
  • Affiliation: Masters and students were generally considered clerics (people in minor religious orders) and had privileges such as being subject to church courts rather than secular ones.
  • Papal Support: Popes played a central role in their establishment, often granting charters and privileges that ensured their autonomy and the universal recognition of their degrees across Christendom.
 
Hapo umeandika Mkatoliki Mwenzetu alafu kwenye thread zingine comments zako unajionesha sio Mkatoliki.

Acha kutumika kama TOILET PAPER
!

View attachment 3521259
Huyo hana akili hata ile ndogo kabisa ya kumbukumbu. Damu walizozimwaga, zimewaandolea akili, wamebakia na uwendawazimu usioeleweka. Kuna siku atakuja kuandika, 'tulipokuwa tunaua watu'. Damu za watu zinawafanya waendelee kujianika wazi. Kimbesa11, Big Show, Lucha, Gentamycin, Tlaatlah, hao wote ni kundi la wauaji, wana damu za watanganyika mikononi mwao.
 
Yaan ivunjwe tec kwa ajili ya raia mmoja mwenye shule ndogo............wewe hebu acha kujikosea .........maana bao lililokuumba ni bora lingetoka hata kwa jini mahaba (kuota ndoto nyevu ) kuliko kukuona ukijamba jamba mbele ya mabas%@^@#&&#*@(@ha
 
Mkuu ebu kuweni na aibu hata kidogo jamani
Stanslaus Nyakunga pamoja na Elia Phaustine sio waumini wa Kanisa Katoliki. Acheni kusambaza taarifa zisizo sahihi. Kama ni waumini, je wanatokea Jumuiya ya Mtakatifu nani? Wanasali Parokia ipi na Jimbo lipi?
Hawa sio wakatoliki bhana
 
Naona mnamaumivu makubwa sana, barua kwa Papa inawatesa
 
Naona mnamaumivu makubwa sana, barua kwa Papa inawatesa
Kumbe kuuliza maswali ya msingi ni maumivu?! Basi utimamu wako una shaka sana mkuu! Fuatili barua ambazo zimefanyiwa kazi na Papal Nuncio dunia nzima zina nini ndani yake? Achana na hawa kina Stanslaus na mwenzake
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
BAKWATA NI CHOMBO KISICHO SIMAMIA MASLAHI YA WAISLAMU WOTE
 
Kumbe kuuliza maswali ya msingi ni maumivu?! Basi utimamu wako una shaka sana mkuu! Fuatili barua ambazo zimefanyiwa kazi na Papal Nuncio dunia nzima zina nini ndani yake? Achana na hawa kina Stanslaus na mwenzake
Ile barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povu
 
Attachments

  • 20251227_154002.jpg
    20251227_154002.jpg
    105.4 KB · Views: 18
Ile barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povu
Haujajibu swali mkuu!
Je kuhoji kuwa wanatokea parokia gani pamoja na jumuiya zako nimekosea!? Je unadhani Vatican wanapokea barua tu kisa imetoka kwa muumini bila kujua kama ni muumini mkatoliki ama?!
Jibu kwanza hapa halafu tuendelee
 
Mkuu Hilo swali halina tija kwasababu mm mwenyewe ni mkatoliki lakini kwasasa nasali kwa mwamposa
 
Mkuu Hilo swali halina tija kwasababu mm mwenyewe ni mkatoliki lakini kwasasa nasali kwa mwamposa
Kafanye research ndogo hata kwa kutumia grok au ChatGPT uliza mpaka barua ifike kwa Papal Nuncio na kufanyiwa kazi kuna vigezo gani? Ndio utajua kwanini watu wanasema hawa sio wakatoliki
 
Ile barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povu
Halafu kama umeshatoka kwenye Ukatoliki kwanini unarukia quotes za wakatoliki? Huyu Bishop Eusebio Samwel kawaulize wakatoliki wa Nyanda za Juu Kusini watakwambia kazi yake
 
Back
Top Bottom