The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Haya nenda kaivunje. Tumekuruhusu
kwanini usiwe wewe padre uchukue nafasi ya kitima... Kutima aondoke tu aje mtaani wewe uwe padre ukafanye PhD chap tu uwe katibu wetu...Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio
Usijali tutaitumia Bakwata maana ndo yenye wasomiUnapiga uchawa ukiwa wapi?
Ila unapenda watawala wanavyoua watanzania, ila unapenda watu kutekwa, ila unapenda wizi wa kura,Mimi Mkatoliki, sipendi kuona kanisa likiburuzwa kwa maslahi ya Father mmoja tu wakati uwepo wake unategemea sadaka za mamilioni ya waumini kutoka vyama mbalimbali.
Unauliza kazi gani na wakati unafahamu fika! Umekubali kuwa chizi anayetembea na makopo kichwani, kwa sababu tu ya malipo kiduchu.Kazi Gani mkuu
Baada ya kuwatapeli watu humu jukwaani, eti leo umekuwa mshauri! Wewe jamaa uwe na aibu hata kidogo basi!TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Kumamamako..Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Unadhani TEC ni mburula mburula kama magaidi wenzako waliokisimika madarakani?Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Mnachokifanya waislamu humu JF kukashifu Ukristo hata Sisi tunakiweza na ni Mafundi hasa. Msidhani hatuwezi kuwachamba viongozi wenu. Mnapewa 500 Mia tano mtukane viongozi wa Kikristo mkidhani mnamlinda Huyo aliyewatuma?TEC Wameshusha hadhi ya upadri sahzi wote wapo kama Askofu mwanamapinduzi🤣
Wewe kumbe nilikua sijakuignoreTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Abdul na wewe ni mkatoliki mara hiiTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Hapo umeandika Mkatoliki Mwenzetu alafu kwenye thread zingine comments zako unajionesha sio Mkatoliki.Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Tatizo lako unaiona TEC ni kama Chadema, mmemfungulia Lissu kesi ya kuuawa sasa hamjui mumfanye nini! Muda wote mnafikiria kuua.Ondoa neno chadema kwenye Uzi wangu kwasababu chadema ni laana
Kama hakuna aliyetapeliwa, basi ni jambo la kushukuru. Kwa sababu ule mwenendo wako ulikuwa unaleta mashaka mengi! ID zaidi ya 10! Mjomba uliweza vipi kuwa na ID zote zile!!!!Weka ushahidi , hapa wa aliyeibiwa
Narudia tena hao TEC sio taasisi sahihi ya kusimama na watz.
Kama hakuna aliyetapeliwa, basi ni jambo la kushukuru. Kwa sababu ule mwenendo wako ulikuwa unaleta mashaka mengi! ID zaidi ya 10! Mjomba uliweza vipi kuwa na ID zote zile!!!!
Yule mdada aliyafukua makaburi yako yote, na aliweka na ushahidi wa namba yako ya simu, na ID's zote ulizotumia! Halafu unasema ni uongo!Hii inaitwa Matrix ya ufahamu
Hautafuti ukweli Ila unaambiwa huu ndo ukweli .
Sasa watu Kama wewe unaoamini UONGO unaweza ukawa na ufahamu wowote kuhusu SIASA za nchi zaidi ya kufata UPEPO .!
N.B We don't play these types of games
Im the guy wiyh strict code.