fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Uislamu unalataza kuchinja watuOndokwa kwangu wewe Shetani hizo ni Kauli alizotumia Yesu.
Kama ni wewe nenda tu kaungame.
Vipi na wale mashehe wakisema watu wachinjwe.
Uislamu unalataza kuchinja watuOndokwa kwangu wewe Shetani hizo ni Kauli alizotumia Yesu.
Kama ni wewe nenda tu kaungame.
Vipi na wale mashehe wakisema watu wachinjwe.
Wanapoteza kuaminika kibaya zaidi wanaupaka matope ukatoliki. Father Kitima anatoka Singida mnyaturu kama Tundu Lissu pia alikuwa meneja wa kampeni za TAL mwaka 2020.Wanashusha sana hadhi ya upadri Na uaskofu
Makosa yao mashekhe hayahalalisha kukengeuka kwa maaskofu na mapadre.Ila.sheikh Bakonzi na like.sheikh shoga la umoja wa wahadhiri wa Kiislamu wanapandisha hadhi ya uislamu kwa Yale matamko yao ya kukata watu vichwa!
Waliwaambia watawakata vicha kama wakifanya nn? Lazima walisema sababuIla.sheikh Bakonzi na like.sheikh shoga la umoja wa wahadhiri wa Kiislamu wanapandisha hadhi ya uislamu kwa Yale matamko yao ya kukata watu vichwa!
Kuna mwenye dhambi kuliko aliyeua watanganyika makumi kwa maelfu.Wachinjwe kama wakifanya nini?
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa
Wale mashehe waliosema waandamani wachinjwe wanawakilishi dini ganiUislamu unalataza kuchinja watu
Hahahaa unajitaidi san Bwana Abdul kuandika Pumba.Wanapoteza kuaminika kibaya zaidi wanaupaka matope ukatoliki. Father Kitima anatoka Singida mnyaturu kama Tundu Lissu pia alikuwa meneja wa kampeni za TAL mwaka 2020.
Ni mwanasiasa kamili, anapewa ushauri wa kufuata njia ya Dr Slaa ya kuvua majoho na kuingia mitaani.
Yaweza kuwa wewe ndo yule alikua na Mandevu kavaa jezi ya Yanga, yule shehe yeye alikua anafanya nini mpaka ukampiga risasa bwana AbdulWalikufa wakiwa wanafanya nini? Je walikuuwa wanafanya jambo halal/batili?
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa
Mimi Mkatoliki, sipendi kuona kanisa likiburuzwa kwa maslahi ya Father mmoja tu wakati uwepo wake unategemea sadaka za mamilioni ya waumini kutoka vyama mbalimbali.Hahahaa unajitaidi san Bwana Abdul kuandika Pumba.
CCM ivunje kwa kupora uchaguziTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Remember huyo jamaa wa jimbo la dsm ana-point 3 ya PCB form six.Ni sawa na PhD la Chagga language aliyonayo Askofu wa jimbo pale dsm.
Hivyo haina maana kwa wengine zaidi yake binafsi na Familia yake.
Una usenge mwingi sana wewe.Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Wajinga mpo wengi ile kauli inakufaaTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.