TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Aisee.
Kwahyo mkuu maaskofu na mapadre wana elimu ya theology tu?

Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Kuwahudumia watz katika nini ?
Na kuwaangunisha katika nini?
TEC wanaongea na kutoa maoni yao kama baraza la maaskofu tz na sio kama wawakilishi wa watanzania.
 
Aisee.
Kwahyo mkuu maaskofu na mapadre wana elimu ya theology tu?

Kuwahudumia watz katika nini ?
Na kuwaangunisha katika nini?
TEC wanaongea na kutoa maoni yao kama baraza la maaskofu tz na sio kama wawakilishi wa watanzania.
Yani kwa ufupi Wana wakilisha agenda zao na maoni yao na sio ya waumini wao.
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.

Wakati unatoa maombi yako ungejaribu kuwa specific nani ayatekeleze
1. Nani aivunje TEC
2. Nani amvue padre kitima u_padre
 
Yesu mwenyewe amekuja/amezaliwa na alisema mojawapo ya ajenda zake ni kusambaratisha. Sasa kama una akili ndogo lazima usambaratike
 
Kumbe mpo kwaajil ya kusambaratisha ndo maana mnaumbuka
 
Upendo gani ule wa kuteka watu na kuwaua?
Yupo wapi pole pole?
Mdude!?
 
Yani kwa ufupi Wana wakilisha agenda zao na maoni yao na sio ya waumini wao.
Maaskofu wa miaka hii ya karibuni wanawakwaza baadhi ya waumini, wanapoingiza siasa kwenye masuala ambayo hawayajui vizuri wanaishia kutengeneza makundi kati ya waumini.

Suala la DP World Father Kitima aliangukia pua kwa kusambaza barua ikasomwa makanisani, Hakujua kwamba DP World wanalo lengo la kufanya biashara jijini Dar peke yake. Kitendo cha makampuni mengine kuomba tenda za kusimamia bandari nyinginezo tayari ikawa aibu kwa ile barua ya Father Kitima iliyosambazwa makanisani kwa ushabiki mkubwa.
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Mkuu mbona unawashwa sana?

Hujapata wa kukukuna leo?
 
Maaskofu wa miaka hii ya karibuni wanawakwaza baadhi ya waumini, wanapoingiza siasa kwenye masuala ambayo hawayajui vizuri wanaishia kutengeneza makundi kati ya waumini.

Suala la DP World Father Kitima aliangukia pua kwa kusambaza barua ikasomwa makanisani, Hakujua kwamba DP World wanalo lengo la kufanya biashara jijini Dar peke yake. Kitendo cha makampuni mengine kuomba tenda za kusimamia bandari nyinginezo tayari ikawa aibu kwa ile barua ya Father Kitima iliyosambazwa makanisani kwa ushabiki mkubwa.
Wanashusha sana hadhi ya upadri Na uaskofu
 
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.

Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE

Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Tuwaache TEC na masuala yao
 
Ondokwa kwangu wewe Shetani hizo ni Kauli alizotumia Yesu.
Kama ni wewe nenda tu kaungame.
Vipi na wale mashehe wakisema watu wachinjwe.
 
Back
Top Bottom