Aliyetoa hizo kauli ni Kitima🤣🤣,Samia au wewe?Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Kazi waliyokupa ni ngumu sana kwako, ila pambana tu maana ccm walivyo...ukiacha wanakumaliza.
Na apo si ndo mlikuw mnalinda kanisa la ufufuo na uzima mkaiba mnaulizwa bado mnajichunguzaTEC Wameshusha hadhi ya upadri sahzi wote wapo kama Askofu mwanamapinduzi🤣
Wewe na nani?Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Ondoa neno chadema kwenye Uzi wangu kwasababu chadema ni laanaUlaji kwisha, dini imekuwa ngumu, kiongozi unataka haki ila wewe hutaki haki za wengine ktk dini.
Tuseme ni upimbi? Ukasuku? Ulofa? Kuchanganyikiwa? Au ni nini? Bora angekaa kimya kuliko alichokifanya.
Anajua kwanini alitolewa dodoma kipindi chadema ya moto, akaja dsm alijua atakuwa lakini hakuwa.
Wanamcheki tu