Ila uchawa siyo kazi rahisi. Nashauri muongezewe posho.Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Umekula Maharage ya Jana ndiyo maana UN atoa UHARO kama huu!!!Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
😂😂😂😂😂😂😂😂MUULIZE YUPO WAPI SASA ? JUST CHECK HER
YOU KNOW WHAT UKWELI NI KITU RELEVANT .
MOD WANYEWE WASINGEFUTA HUO UONGO WANGEUACHA.
HOV OR HAYALAND I DON'T COME FROM ur world I'M THE DIFFERENT PERSON.
Mimi nilitegemea Mama alivyofoka dhidi ya TEC siku ile akihutubia wazee wa Dar,angefuta Kanisa Katoliki Tanzania kama alivyofanya kwa Gwajima.Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Nini padre bana, Nchi hii tangu ipate Uhuru imekuwa na Marais sita tu ila Ma padre kibao tu mtaani uku tunapiga nao Vyombo na Kula Mbuzi katolikiKuwa wew padri kama waona rahisi like kupigiwa kura 31m
Maaskofu kwa kushirikiana na viongozi wa chadema mnatututana mnasema ss ni malofa
Nini padre bana, Nchi hii tangu ipate Uhuru imekuwa na Marais sita tu ila Ma padre kibao tu mtaani uku tunapiga nao Vyombo na Kula Mbuzi katoliki
Nothing special kwenye kuwa padre ila it's very special kuwa Raia namba moja