Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hata Nyerere atakuwa alitubu.Paulo alitubia na kujutia unyama wake.
Wanataka kumfanya mtakatifu maana alitawala kipindi watu wamelala, na maovu yake yalikuwa hayatangazwi. Labda wamfanye mtakatifu wa hilo kabisa lao, lakini sio mtakatifu kwa jinsi alivyooendesha nchi.Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
That’s the best point !Wewe ni Mkatoliki?
Yale ni mambo yao binafsi, ya kiimani ya Kikatoliki, wewe yanakuhusu nini????
Kumtambua Nyerere kama kiongozi mzuri au mwenye mchango mkubwa kwa Taifa si sawa na kumtangaza kuwa Mtakatifu. Hayo ni mambo mawili tofauti.Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Pita mbali kama shoga. Haya hayakuhusu waachie Wakatoliki wenyewe. Isitoshe ni mchakato unaofanyiwa utafiti na wala siyo TEC inayomtangaza. Pili ni level ya Mwenyeheri wala siyo ya utakatifuWengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Wewe ni kilaza?.Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Kwani watakatifu unaowajua wewe wamenyooka kama rula?Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
Nothing special kuhusu kanisa takatifu katoliki la mitume.Huenda kuna mkatoliki alikupiga miti akakuacha.
Unatuandama sana
We kikojozi achana na sisi.
Kila mada unayoanzishwa you speak negatively about catholicism.
Dunia nzima unajiona Mkatoliki ni wewe peke yako chawa wa kizimkazi ?Pita mbali kama shoga. Haya hayakuhusu waachie Wakatoliki wenyewe. Isitoshe ni mchakato unaofanyiwa utafiti na wala siyo TEC inayomtangaza. Pili ni level ya Mwenyeheri wala siyo ya utakatifu
Mtume Paulo baadae aliongoka. Ni wapi ulisikia Nyerere alijutia makosa yake?Kati ya Mtume Paul aka Saul na Bwana Julius Nyerere nani alifanya unyama na ukatili zaidi kwa binadamu wenzake?
Utaratibu wa Kanisa Katoliki, muumini anatubu dhambi zake kupitia chumba cha kitubio, na madhambi anayokiri ni siri yake na Padri.Mtume Paulo baadae aliongoka. Ni wapi ulisikia Nyerere alijutia makosa yake?
Bila Nyerere wangekua hapo?.. Nyerere kasaidia ukristo kuenea tz na katoliki kujiona Wana nguvu nchini, unadhani hawajui kwa nini wanampa utakatifu!?Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.