gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wanasubiri tunaomjua Nyerere tufe ndiyo wampe utakatifuMkuu Kanisani sio kama tume ambayo inaweza kuelekezwa kuna misingi kanisa hutafuta unayoyajua na usioyajua inaweza chukua hata miaka 30 kabla ya hilo kufanyika
Kwenye uislam hakuna kutukuzana,hata manabii siyo watakatifu,mtakatifu Mungu tuKwani Bakwata mkimcanonize Samia Kuna ubaya?
Kwenye uislam hakuna kutukuzana,hata manabii siyo watakatifu,mtakatifu munguKwani Bakwata mkimcanonize Samia Kuna ubaya?
Alijenga mfumo kristo(katoliki) nchini,hadi padre akawa waziri wa elimu Ili kuusimika mfumo vizuri,wanajua wafanyachoWanataka kumfanya mtakatifu maana alitawala kipindi watu wamelala, na maovu yake yalikuwa hayatangazwi. Labda wamfanye mtakatifu wa hilo kabisa lao, lakini sio mtakatifu kwa jinsi alivyooendesha nchi.
Hilo la kumuweka padri kwenye mfumo wa elimu silijui, lakini huko kwenye Baraza la mawaziri si kulikuwepo na waisilamu, si wangemuhoji huyo padre huo mfumo anaotaka kuupandikiza?Kwenye uislam hakuna kutukuzana,hata manabii siyo watakatifu,mtakatifu mungu
Alijenga mfumo kristo(katoliki) nchini,hadi padre akawa waziri wa elimu Ili kuusimika mfumo vizuri,wanajua wafanyacho
Sasa hili wewe umelitoa wapi; kwamba anakuwa "Mtakatifu kwa mchango wake TEC"?Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya
Huko Peponi naona kutakuwa ndiko jehenamu kwenyewe, kama mtu unakusudia kabisa kwa dhamira yako kuua waTanzania ili ubaki madarakani; halafu unageuka dakika ya mwisho na kusema hukunuia kuua hao watu ili mradi tu usalimishe roho yako?Hata Samia Suluhu Hassan akitubu na kuiamini Injili kuna uwezekano wa kuwa Mtakatifu, hili kanisa halina ubaguzi.
hasa kwa wakati huu ama kipindi hichi..tulichopo...hiyo tuzo inaweza ikasubiri...kupisha masuala ya msingi kwanza.naunga mkono hoja,haina tija yoyote kwa taifa.
Tatizo wanajimwambafai nalo sana kana kwamba lina Positive Impact yeyote ya Ujumla kwa Taifa...Wakati ni mambo yao ya Ndani kwenye Ukatoliki wao..Wewe ni Mkatoliki?
Yale ni mambo yao binafsi, ya kiimani ya Kikatoliki, wewe yanakuhusu nini????
Na aliwapora Mashule na Mavyuo akawaambia kazi yao ni kuchunga Kondoo wa Bwana tu..Wanataka kumfanya mtakatifu maana alitawala kipindi watu wamelala, na maovu yake yalikuwa hayatangazwi. Labda wamfanye mtakatifu wa hilo kabisa lao, lakini sio mtakatifu kwa jinsi alivyooendesha nchi.
Kuna timu maalum iliandaliwa na kwaajili ya kukusanya maoni juu ya mchakato huo kutoka kwa watu mbalimbali nchini.Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama cha umoja wa Waislamu cha Africa Mashariki.
Kuendelea na mchakato wa kumfanya Mtakatifu kwa sababu ya mchango wake tu kwa kanisa Katoliki bila kujali haya madhila mengine itakuwa ni kutolitendea haki taifa, kuifanya Catholic chombo chenye double standards kisicho na moral authority ya kusimamia haki bila kujali upande, itakuwa pigo kubwa kwa harakati za haki na mabadiliko nchini.
TEC hawaifanyii taifa Ni suala lao kikanisa na kiimani yao.naunga mkono hoja,haina tija yoyote kwa taifa.
Naamini kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mutume na Ufufuko wa milele. AMEN.Dunia nzima unajiona Mkatoliki ni wewe peke yako chawa wa kizimkazi ?
Kama ni mtakatifu kwa mujibu wa kanisa lao sioni shida yoyote. Ila kuwa mtakatifu kwa nchi hilo si kweli.Tatizo wanajimwambafai nalo sana kana kwamba lina Positive Impact yeyote ya Ujumla kwa Taifa...Wakati ni mambo yao ya Ndani kwenye Ukatoliki wao..
Nimewahi kumusikia nyuma huko Mwenyekiti wa Kamati ya hilo tukio Askofu Msonga
Na aliwapora Mashule na Mavyuo akawaambia kazi yao ni kuchunga Kondoo wa Bwana tu..
Mimi tokea Mwenyekiti wao wa huo Mchakato Askofu Msonganzila nimsikie akisisitiza michango ,kipindi fulani kwenye Misa kule Musoma,ili mchakato uende fasta Tanzania nayo ipate Mtakatifu.niliweka Zero na Hopeless...hawana hoja ya Kiimani ya Nyerere kutangazwa Mtakatifu.Ni fasheni..tu..
Any way hayatuhusu na hayana tija kwetu kama Taifa.
Utakatifu gani wakupatikana kwa kutumia pesa badala ya Matendo ya Mtu????
Kama hawatajali,fore most and firstTEC hawaifanyii taifa Ni suala lao kikanisa na kiimani yao.
Mkuu umetoa elimu kubwa sana.🤝Kumtambua Nyerere kama kiongozi mzuri au mwenye mchango mkubwa kwa Taifa si sawa na kumtangaza kuwa Mtakatifu. Hayo ni mambo mawili tofauti.
Kama Kanisa Katoliki litaamua kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu, lazima apitie mchakato rasmi wa Kanisa wa kutathmini maisha yake, imani yake, utakatifu wa maisha yake na ushahidi unaohusiana na madai ya miujiza. Kwa utaratibu wa Kanisa, kwa mtu ambaye si shahidi (martyr), muujiza unaohusishwa na maombezi yake ni sehemu muhimu ya mchakato wa kutangazwa mtakatifu. Vatican yenyewe inaeleza kwamba miujiza huchunguzwa kwa umakini mkubwa, ikiwemo tathmini ya kitabibu na kiteolojia.
Kwa mfano, Mtakatifu Padre Pio alihusishwa na miujiza ya uponyaji baada ya kifo chake. Kabla ya kutangazwa kuwa Mtakatifu, Kanisa lilichunguza uponyaji wa watu waliodai kuponywa kwa maombezi yake, na uchunguzi ulihusisha madaktari, wanatheolojia na mamlaka za Kanisa. Vatican inaeleza mchakato wa uchunguzi wa muujiza uliotumika katika hatua yake ya kutangazwa mwenye heri.
Na mchakato upo hivyo kwa watakatifu wote.
Nyerere hawezi kutangazwa Mtakatifu kwa sababu tu alikuwa mwanasiasa mzuri au alikuwa na mchango mkubwa katika historia ya Tanzania. Lazima mchakato wa canonization uthibitishe vigezo vinavyotakiwa na Kanisa, na kwa canonization ya kawaida kuwe na muujiza uliotambuliwa rasmi.
Mpaka sasa sijasikia kama kuna miujiza yoyote imetokea kupitia maombezi yake kwa hiyo haitowezekana kuwamtakatifu
labda huko mbele hatujui
Kwa kifupi: Si mwanadamu anayemfanya mtu awe Mtakatifu; Mungu ndiye anayemchagua na kuthibitisha utakatifu wake kupitia miujiza, huku Kanisa likichunguza na kuthibitisha miujiza hiyo kabla ya kumtangaza rasmi kuwa Mtakatifu.
Kwani,kwa mujibu wa Katoliki/TEC,ni vigezo vya aina gani hutoa mtakatifu?Ila wanafeli sana Architect wa mfumo huu mbovu, kiongozi aliyekosa kuwa na maono ya mbali na kututungia katiba mbovu na muungano wa hovyo eti awe mtakatifu? Kweli hao wamekosa Kazi ya kufanya