TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

Tena ni hasara kubwa!
1. Muundo wa ccm aliharibu
2. Muungano wa kihuni
 
kwa namna moja litakuza na UTALII WA NCHI na UCHUMI WA NCHI.

watalii wakija watanunua/lipia huduma na bidhaa zetu na KUITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA
 
Acha upuuzi wakati mwingine
 
Umejuaje hayaniathiri wakati mchango walitangaza wote Tuwaunge Mkono na hawakuwa wazi kwa kusema - Ni kwa Wakatoliki tu- kama wanavyofa kwenye kukomunika wakati wa Misa!? Huo si ni uchoyo!? Michango tutor..kunywa Divai na Mkate mnatubagua?
 
nimeelewa from your point of view

Ni la kitaifa, nchi kuwa na mtakatifu ni jambom la kujivunia, watu watakuja kuhiji kwenye kaburi lake na tutakua utalii kama tu ambavyo kwa sasa mnavyokwenda Israel, Roma na Macca., walinza hivi hivi.
[/QUOTE]
 
Umejuaje hayaniathiri wakati mchango walitangaza wote Tuwaunge Mkono na hawakuwa wazi kwa kusema - Ni kwa Wakatoliki tu- kama wanavyofa kwenye kukomunika wakati wa Misa!? Huo si ni uchoyo!? Michango tutor..kunywa Divai na Mkate mnatubagua?
Sasa kama wewe ni Mkatoliki, huyo aliyekutangazia mwambie maoni yako.

Sisi humu siyo wote wakatoliki. Wala hatuamini binadamu watakatifu na hata hizo sala za kikatoliki za Mtakatifu hatufanyi.
 
Sasa kama wewe ni Mkatoliki, huyo aliyekutangazia mwambie maoni yako.

Sisi humu siyo wote wakatoliki. Wala hatuamini binadamu watakatifu na hata hizo sala za kikatoliki za Mtakatifu hatufanyi.
Kumbe hata hunielewi kama usivyoeleweka kwangu ..
Wasalimie huko uliko...
 
Exactly, hao waliotajwa kwenye biblia hata YESU aliishi kama nyerere watu wakamkataa, wakamtukana na kumuua .
TEC wameona mbali, walau tuwe na watakatifu waafrika, kwanini tuamini wazungu pekee ndio wanweza kuwa watakatifu?
Kuna ukweli kwenye hoja yako mkuu.
 
Sahihi kabisa wasitishe mara moja na mchakato upelekwe kizmkaz
Kwenye uislam hakuna upuuzi kama huo, nyerere ndiye aliyeiangamiza hii nchi hadi leo bado tunatawaliwa kama nyapala bado mnadiriki kumvika Joho la damu
 
Kwenye uislam hakuna upuuzi kama huo, nyerere ndiye aliyeiangamiza hii nchi hadi leo bado tunatawaliwa kama nyapala bado mnadiriki kumvika Joho la damu
Nchi hii si ya kiislamu kila mtu ana uhuru wa kuabudu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…