TEC toeni tamko kukemea ubaguzi kwenye elimu

Hayo matamko yao yana impact gani, Tec waache kujisumbua Serikali hawezi badili misimamo yake kwa matamko ya Tec. Tec ni Makanisani sio kwenye jamii.
 
WAkati anaenda hiyo shule ulikubaliana na hayo masharti,
Mwanao uwezo mdogo umemtoa siyo ubaguzi, peleka shule ambazo ni kokoro linabeba kila kitu.
 
Ndio nimwambia kama hapendi yanayoendana na muktadha wa should husika atafute should yenye mlengo wa dini yake. Mwanafunzi hawezi badili utaratibu wa shule za taasisi ya dini!.
 
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.

Wakemee ubaguzi?!!!! [emoji115]Huu unaotaka ndio ubaguzi mkubwa zaidi.
 
Shule zinazomilikiwa na bakwata na taasisi zingine za kiislam,Hakuna ubaguzi?
Tuanzie hapo Kwanza.
 
Ndio nimwambia kama hapendi yanayoendana na muktadha wa should husika atafute should yenye mlengo wa dini yake. Mwanafunzi hawezi badili utaratibu wa shule za taasisi ya dini!.
Kwa hiyo mnaamini kabisa kuwa wanafunzi wasipara daraja A hawastahili kusoma?
 
Tunapenda sana shortcut bila kuweka juhudi. Mtoto anakaa kwenye TV Jumatatu mpaka Jumatatu, mzazi yuko busy na iPhone 15 then anataka TEC wamuingize tu kwenye shule zao bila kufaulu.
Wamezoea kutumia Basha kupata nafasi, TEC hawana mchezo Kwa elimu.
 
Kumwondoa mwanafunzi anaesoma pale Tagaste kisha hajifukisha wastani wa A ni ubaguzi uliopitiliza
Kwanini hajafikisha wastani wa " A " kama wenzake wamefikisha yeye anashindwa vipi

Tena nashauri hata shule za serikali huo utaratibu urudi
 
Yaani mwanao kutokuwa na uwezo wa kiakili ni kubaguliwa?

Ama kweli mwanao karithi akili zako!!! Huna akili
 
Sio kweli....
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka kama mazuri
 
mwambie kijana asome kwa bidii aache ujanja ujanja hawezi kusurvive huko 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…