Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa Tamko lolote lile Kali la Kulaani kile Kitendo cha Kipuuzi na ambacho siyo cha Kiunamichezo ambacho Simba SC imefanyiwa na Makomandoo wa Yanga SC tena wanaojulikana huku pia baadhi ya hata Viongozi wao Waandamizi na wa Matawi wakiwepo.

Kwa kitendo tu cha Yanga SC kuchelewa kutoka Tamko lolote kuanzia ile Jana hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi ni kwamba automatically Yanga SC kwa 100% wamebariki / walibariki lile Tukio. Hili wala halihitakji sijui kuwa na Certificate au Advance Diploma au Bachelor Degree au Masters Degree au Doctorate (PhD) kulijua.

Msemaji wa Yanga SC huko Chuo Kikuu ulikosomea Mass Communication yako ulisoma kitu kiitwacho Situational Analysis and how to make a Counter in any Information or Event katika kuleta public harmony? Na ndiyo Kutwa huwa nawaambia hapa hapa JamiiForums kuwa hakuna Chuo Kikuu bora Afrika Mashariki na Kati chenye kutoa / kututoa Geniuses wa Mass Communication kama SAUT Mwanza ambapo hata Rafiki yangu na mwana Yanga SC lia lia hapa JamiiForums Mwalimu wa tuisheni nae alisomea Elimu (BAED) yake akiwa na Mheshimiwa John Heche hamkubali na hamuamini.
 
Taarifa ilishatoka mapema popoma wewe! Ulitaka club ikae kimya ipoteze mapato ya mchezo kisa imani zenu za kishirikina?
GlgHg8CWoAAiCM_.jpeg
 
SAUT Mwanza ilinitengeneza vizuri sana GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Mimi na ndiyo maana niko vizuri Upstairs na natisha.
Asante Mkuu!

Ni Kweli SAUT MWANZA, Enzi hizo sio Sasa! Ilikuwa ni chuo Bora sana.

Nakumbuka nilikuwa na Mwalimu anaitwa Basil Bamuhiga ... Kwenye Somo la Linguistics (BAED)

Alikuwa anatufanya tufikiri kuliko ku Gugu

Pia tulikuwa na kijiwe Cha SIASA pale kwenye magazeti, tulikuwa tuna shindana kwa hoja

Enzi hizo lakini ... Nimepita SAUT pia
 
Heko Mkuu nimefurahi kujua kuwa kumbe nawe ni Mwanafamilia mwenzangu wa SAUT Mwanza. Mimi ni wa 2006 - 2009.
 
Back
Top Bottom