Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

Idiot katika hii barua ya Yanga SC unaona mahala popote pale wamekemea vikali Kitendo kilichofanywa na Makomandoo wao jana?
Kuna yeyote anayeonekana kuwa mwajiriwa au mhusika wa moja kwa moja na Yanga? Tafuta video uangalie vizuri popoma wewe! Wale ni askari wa kawaida na walinzi wa uwanja. Yanga haihusiki
 
Technically, mwenye wajibu wa kujibu madai ya Simba ni management ya uwanja na sio Yanga. Jukumu la Yanga ni kupeleka timu uwanjani.
 
Idiot katika hii barua ya Yanga SC unaona mahala popote pale wamekemea vikali Kitendo kilichofanywa na Makomandoo wao jana?
wakemee kitu gani mkuu?

Ikiwa Simba ilishafanya mazoezi al hamisi jana waneenda kutafuta nini taifa?

Pili,Kuzuiwa na Hao waliowazuia wanasababu,je kuna taarifa yoyote waliitoa kwa wenyeji wao?

Uchawi tu
 
,
 
yanga wana calculated moves,tena kwa akili nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…