Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

uongoz wa Yanga ni moja kati ya Uongoz mbovu kuwahi kutokea , watu wao walipiga mashabiki ila uongoz ulikaa kimya , nahisi uarabu wao ndo shida
 
kwa barua hii itoshe Yanga kuwapa adhabu maana hawaoni kosa la watu , na wanasimama na watu wao waliofanya fujo

TTZO NI TFF
Sawa, tupo tayari kwa faini na adhabu. Ila hayo yote yafanyike baada ya mchezo kwa mujibu wa kanuni na sheria timu isipokuja uwanjani itakatwa alama na kupigwa faini.Simba inyang'anywe alama.
 
Bado haileti uhalali wa simba kutokucheza hii mechi.
 
Yanga hastaili kuomba radhi kwa yoyote kwakua kabla Simba hajafika kufanya mazoezi ilitakiwa watoe taarifa kwa mwenyeji wa mechi, Meneja wa uwanja n.k

Simba hawakumtaarifu yoyote na wamekuja uwanjani na watu wengine wasio tambulika.
Walikua na haki ya kuzuiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…