Lissu kitendo cha kua mwenyekiti wa Chadema ilikua hesabu mbaya sana chama kikuu cha Upinzani kabari Mbaya sana mtu mwenyewe mbishi mnampa na Mtaji wa Watu hapa Busara zitumike tukubali reform zakeKabisa, na Mbowe juzi alienda kumpa ujumbe wa system, lakini Lisu aligoma na akasema yuko tayari kunyongwa hadi kufa. Ifahamike Mbowe amekuwa akikubali haya matakwa ya system, kisha akawa anatoka na taswira ya kuwa ni mtu mwenye busara, lakini alikuwa anachota mpunga.
Yaani umeamini!?Hao viongozi nao wa dini walitaka twende hivyo hivyo? Ni viongozi gani wasiojali maumivu ya watanzania?
Bwana ni Nguvu yangu na Wokovu wangu.
Kwenye uroho wa madaraka hakuna logical thinking.Kule ccm hakuna logic tena .Ushindi lazima uje kwa njia yoyote,hata kwa kuuaMi najiuliza kwa kanuni za INEC kuwa Chadema imezuliwa kushiriki uchaguzi,nikajiuliza kwa tafsiri tu Chadema ni members na wakereketwa kwa hiyo kwa tafsiri ya tume hao wote wamezuiliwa kushiriki uchaguzi tufanye chadema ni 25% ya wapiga kura wote.25% yote inakuwa imeondoka,chukulia wale wanaosema sina muda wa kwenda kupiga ni 10% ya wapiga kura wote,haya ambao hawajiandikishi labda 5% ya wapiga kura wote.Je tunataka turnout ya uchaguzi iweje? Au ilimradi tupite tushike dollar huku watanzania wakiwa nje.Kuna tofauti ya chama kujiondoa na kuondolewa.Kwenye kuondolewa kuna sympathy na kwenye kujiondoa kuna aggressiveness ya hata member wa chama.We need to rethink of our decision kanuni zimekiuka sheria mama,katiba na public interest.
Mimi mtumishi wa Mungu naamini kila habari iliyonjema, maana yatoka kwa MunguYaani umeamini!?
Unapimaje wema wa habari!?Mimi mtumishi wa Mungu naamini kila habari iliyonjema, maana yatoka kwa Mungu
Kuna watu wa HAKI watu wa Mungu kweli ambao wao hawanunuliki ,na wala kwao furaha yao au mafanikio yao ni kutenda haki furaha yao sio pesa hawanunuliki.Andiko lako hili impression yake ni kuwa njia iliyotumika kumteka Mbowe, akatoka gerezani na kuibukia ikulu ndiyo inataka kutumika kwa Tundu Lissu pia..?
Kwamba Tundu Lissu ajikane mwenyewe, akane misimamo yake na auze utu wake ili kuwapa ajenda CCM na serikali yao dhidi yake binafsi na chama anachokiongoza, CHADEMA...?
NO WAY, I DON'T SEE ANYTHING LIKE THIS.......!!
Sioni hili likitokea kwa Tundu Lissu huyu tunayemjua ambaye alisha wa-prove wengi wrong kwamba "HE IS A PERSON OF INTERGRITY..."
Narudia tena kusema, wanajichosha tu kwa Tundu Lissu...
Kama CCM na serikali yao wako seroius na wana ile iitwayo kisiasa kama "political will" kwa amani na utulivu wa taifa letu na wanataka twende mbele wote kwa pamoja tukiwa wamoja kama taifa, basi they have to do the needful na kwamba MEZA YA WAZI NA GENUINE YA MAZUNGUMZO ILI KURIDHIANA KAMA TAIFA haipekukiki...!
Ujanja ujanja na manipulation za kipuuzi za CCM na serikali yao hazina nafasi katika generation hii. TUBADILIKE....!!
Huyu jamaa (Tundu Lissu) ni mtu wa haki na ni mtu anayependa kufanya mambo kwa uwazi...
Hawezi kufanya negotiation in the "closed doors" kwa ishu ambayo iko wazi na inapaswa kutolewa maamuzi in public kila mtu akisikia na kuona...
Asante Tundu Lissu. Naona mwanga wa uhuru na ukombozi mbele...
id hii nilii block,Leo nai block tena..man hata ningekua nakujua nje ya hapa still ninge block your azz..I love haters very much my lady, ohh my God,
Further more,
I love to be hated by heters, because I love them for free, I don't know why my lady,
But remember,
No fear no Hate 🐒
Retired Lusungo Fundi MchundoKabisa, na Mbowe juzi alienda kumpa ujumbe wa system, lakini Lisu aligoma na akasema yuko tayari kunyongwa hadi kufa. Ifahamike Mbowe amekuwa akikubali haya matakwa ya system, kisha akawa anatoka na taswira ya kuwa ni mtu mwenye busara, lakini alikuwa anachota mpunga.
Viongozi weak huwa hawana uvumilivu.Kabisa, na Mbowe juzi alienda kumpa ujumbe wa system, lakini Lisu aligoma na akasema yuko tayari kunyongwa hadi kufa. Ifahamike Mbowe amekuwa akikubali haya matakwa ya system, kisha akawa anatoka na taswira ya kuwa ni mtu mwenye busara, lakini alikuwa anachota mpunga.
FAM is double AgentViongozi weak huwa hawana uvumilivu.
May God protect Lissu.
Huu usimba na uyanga , betting,uchawa,ndio unakatisha tamaa viongozi wetu.FAM is double Agent
kwani hiyo inanisaidia nini mimi gentleman?,id hii nilii block,Leo nai block tena..man hata ningekua nakujua nje ya hapa still ninge block your azz..
Katika vitu ambavyo mama nampenda ni kuwa ana Imani sana na Mungu na pia ni muumini sana na dini yake. Kwa hapo Mungu azidi kumpigania Rais wetu azidi kumpa afya njema na busala iliyotukuka.Pili Rais wetu ana nia njema na nchi yetu, sema Kuna uharaka sana wa kibadirisha hizo Sheria. Lakini tumpe muda Rais wetu ninaamini hili swala Mama yetu atalifanya kwa sababu ni muumini sana wa dini.Kwa sasa muda wa No reform no election ni mdogo sana. Tukisema tupambane sana hamna Rais mwingine atakaye fanikisha hili jambo. Tumuache Mama uchakuzi uishe. Mama atarekebisha kila kitu. Pia tukumbuke kuwa harakq harakq Haina baraka.Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
Si kila kiongozi wa dini ni kiongozi wa kirohoHao viongozi nao wa dini walitaka twende hivyo hivyo? Ni viongozi gani wasiojali maumivu ya watanzania?
Bwana ni Nguvu yangu na Wokovu wangu.