Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Hii nchi siku ikipata wapinzani wa kweli kutoka moyoni angalau kumi tu basi CCM ni nyepesi kama unyoa.Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
Vistori vya hawa nyumbu wa jf bwana! Vinachekesha sana.Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
1. Mbowe hajaenda kumjulia hali Lissu kwa sababu anahusika katika kukamatwa kwake.
TAL ANAFUNIKWA NA DAMU YA YESU KRISTO; NA MAJIZI, VIBAKA, MAJAMBAZI, WAOVU, WACHAWI NA WATESI WAKE WOTE WASIMUONEE KWA JINA NA DAMU YA YESU KRISTO, AMENNina mashaka na Hilo neno "Angalizo" isije kua Kuna kitu watu wanapanga kumdhuru" me nitajikita hapo..
Kama kweli chanzo Cha ndani ulichosema kimekwambia hayo means,Alie watuma wamkamate LISSU ndio huyo huyo anataka Kumdhuru Lissu,hiyo statement ya kusema "Mkuu kasema HAPANA"ni
plausible deniability muhusika KAJITOA KIJANJA
Kama umetumwa kuandika ulichoandika nafikiri kwamba Kuna baya linaweza tokea Ila mnaandaa mazingira ya kutowajibika kwa wahusika wakuu,ili Fulani aonekane MSAFI hajabariki lililitokea na yeye sio mtu wa hivyo..
Hapa ujumbe wa jumla ambao bandiko lako halijasema ni kwamba
LISU IS IN DANGER
Akina Msoga ndio wanampotosha huyu mama kwa hofu zao za uhujumu uchumi!Kuku ngbendu wa Zabanga alikuwaje na mwisho wake alizikwa na watu watano tu nje ya nchi yake. Kwa nn kusiwe na tume huru ya uchaguzi kinaogopwa nini?
Hili jambo limeitangaza chadema zaidi kuliko kuinyong'onyeza...Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
What do you expect? Uhuni na dhuluma tupu.Kwanza watanzania wameumizwa na namna hii ya uchafuzi kwa muda mrefu sana.Ni bora mfumo wa vyama vingi ufutwe tu watu wajue moja.Yaani Msimamizi wa NEC ni aliyekuwa mjumbe wa CCM NEC.
DED ni aliyekuwa mgombea wa ccm na DC ni Mwanakamati ya siasa ya ccm harafu hao ndio wanasambaza box za kura, kuzihesabu na kutangaza.
Huyu unayesema apumzike ndiye muasisi wa haya mambo yanayoendelea."MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."
Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
Mabadiliko yakifika yamefika, hata ccm mfanyeje hayawezi kuzuilika. Huyo Lisu atakuwa kama masiha aliyeikomboa dunia hii.
Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.
Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.
Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
View attachment 3308605
In God We TrustFor sure,na huo u socialist walioujaza ndani ya mioyo yao.Wanaua wenzao kisa madaraka ya kupita tu.
Mungu yupo.
Ahimidiwe Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Nchi aliyetuletea Kiumbe Tundu Lissu.Lissu anaweza Kupindua Meza, Mabadiliko huwa yanaanza Taratibu ila ni lazima wawepo watu ambao wako tayari hata Kuondoa Uhai wao, Lissu is Gifted watanzania tumuombee
Yeye ni kiongozi ameonyesha njia,Ahimidiwe Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Nchi aliyetuletea Kiumbe Tundu Lissu.
Tangua Nchi hii Iwepo hajawahi kutokea Mtu kutoa uhai wake kwa ajili ya Kupigania Haki, Amani na Usawa. Wengi walikuja kwa ajili ya matumbo yao. Madaraka na familia zao
Ndio maana tunamshukuru Mungu sio kila mtu anawezaYeye ni kiongozi ameonyesha njia,
Vp WEWE, uko tayari KUPITIA njia hiyo?
Kumbe mabadiliko ya mfumo unayapenda,Ndio maana tunamshukuru Mungu sio kila mtu anaweza
NdioKumbe mabadiliko ya mfumo unayapenda,
Ila sacrifice hauwezi jitolea.
Vipi kwa familia yako,Ndio