Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

JPM aliamrisha Tundu apigwe risasi wakati anahudhuria bunge. JPM alikuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe baada ya Ben kushikikia msimamo kuwa PhD ya Magu ni FEKI
Erick Kabendera anaangalia ulichoandika hapa anacheeka!

 
Haahaa thubutuuuu
 
"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."

Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
Kafie mbele huko lipi alilosingiziwa qmbalo hutaki kulisema
 
Kafie mbele huko lipi alilosingiziwa qmbalo hutaki kulisema
Ukiamua kutumia akili badala ya mihemuko (emotions) utajifunza mengi na ndio lengo la kupewa huo ubongo ambao unatumia kwenye matusi.
Pitia Uzi huu na tafuta kitabu hiki( nitakutumia soft copy pm) uone mwanzilishi WA huu mfumo ni Nani?

 
..
 

Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 18
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 21
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 16
  • downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 17
  • images - 2025-04-18T223508.093.jpeg
    10 KB · Views: 18
Hao viongozi nao wa dini walitaka twende hivyo hivyo? Ni viongozi gani wasiojali maumivu ya watanzania?

Bwana ni Nguvu yangu na Wokovu wangu.
Kuna watu humu kwa jinsi wanavyofikiri au kwa kujifanya wanafikiri hivyo, inasikitisha sana! Unafiki ni kitu kibaya sana!
 
DJ mbowe kama namuona huko aliko kaamaki kwa kusema ahiyaaaaaaa Mzinga wa nyuki na asali yake lisu kaimwaga
 
Congratulations gentleman,
upotoshaji at it's best wakati mahabusu akiinjoy mandhari nyingine mpya ya korokoroni katika gereza la ukonga kulingana na mahitaji ya physical condition ya mshukiwa πŸ’
Kuna mama kageuza neno uhaini kama pichu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…