Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

Wameyataka wenyewe haya,kutekana sio kuzuri

Raia wanakosa imani
 
Hii imekaa vzr, ipo siku kizimkazi atakimbia magogoni au chamwino, akiwa kavaa gagulo tu
 
Tunakoelekea hakuna afya sana
Wahuni wachache wa CCM wanaiharibu nchi yetu, wanaachia utekaji ufanyike.

Kitakachotokea, wananchi hawataheshimu magari ya serikali wala polisi, itakuwa ni kupiga mawe, Ndio wajinga wachache, wanaofumbia macho utekaji wanataka nchi yetu ifike.

Tena kwa sababu ya upumbavu tu, mtu kama Abdul Nondo mnamteka! Hivi Nondo atamuondoa nani madarakani hadi mnamteka...

Upumbavu wa hali ya juu.
 
Ilitakiwa lipigwe moto
 
Ukweli kuna kauli imenichefuà sâna kwenye hii taarifa yako.
Kumbe chàwa.
 
Wangewachoma moto tuu tusherehekee ushindi. Siyo kila siku watekaji wao tuu ndo waue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…