Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

Hapo mwisho taarifa imekaa vizuri, hatuombei vifo ila kuna namna wenye mamlaka wamekuwa waovu sana, wapate stahiki yao. Raia wema wa Tegeta tunawapa kongole kwa kazi yao nzuri.
 
Mkuu napita Africana hapa nakuja hapo kuwaokoa watumishi... dk 0 tu
Wameshindwana malipo hao.
Watu wa magendo wananguvu sana kwenye hizo njia wengine hununua njia, wengine hununua askari inategemea.
Kwa mara ya kwanza nilishuhudia askari polisi wa kata ya KUNDUCHI pale MTONGANI akilambwa vibao hadharani na watu wa magendo kisha wakaondoka zao bila kufanywa lolote. Yule afande mfupi mkurya alikuwa na kanyota kamoja hivi
 
Sheria ya EACCMA, 2004 inampa Afisa wa Customs mamlaka yafuatayo. 155. Power to search persons, 156. Power of arrest 157. Power to search premises
Uzuri ni kwamba hao maafisa wenyewe hawafati utaratibu kutimiza wajibu wao. Wapate stahiki yao, wala hakuna anayewahurumia. Mifano ni mingi sana huku mitaani, jamaa yangu anauza vinywaji jumla, walimzukia mda wa kufunga, akawakatalia katakata, kama wanahitaji waje kesho, wakalazimisha ila walinzi waliwatoa baru.
 
Hapo sheria gani haijafuatwa boss wangu?
 
Iwe fundsho kwa wahuni wengine
 
Ningekuwepo Mimi ningetoa fundisho Kwa Hawa watumishi wasiozingatia miongozo ya utumishi wao.Ningehakikisha nawaachia ulemavu wa maisha Yao yote na kulichoma moto Hilo gari linalokula Kodi zetu bila faida yeyote
 
Kuna somo.kubwa.hapa.kwa.hawa.wanaoteka.watu.wakiwa. na pingu bunduki na magari yafananayo na ya.serikali. wananchi kila.siku.wanasikia watu.wanatekwa marehemu Ally mohd kibao alitekwa tegeta kibaoni na.msiba.wake.umewagusa sana watu.wa.hali ya.chini hasa waislamu hawaongei lakini ukiingia vijiwe vya misikitini kama temeke. Kigogo watu hawakuelewa kabisa kwanini kibao alitobolewa macho.

Waliotenda walidhani haitakuwa na madhara lakini madhara ni hayo ukipigiwa kelele unateka mtu basi wajiandae na sanda kukuzika wananchi wamekosa majibu na wamechoka na issue za utekaji wameamua kuchukua hatua stahiki. Sipati picha eneo kama temeke wapigiwe kelele wanamteka mtu halafu waone au tandika
 
😀😅😀we jamaa muongo sana
 
Matokeo ya kuzorota kwa Utawala Bora
 
Je, Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction??
 
Hapo sheria gani haijafuatwa boss wangu?
Mkuu usikariri kama kasuku. Kwamba umebandika hako kakifungu unaona umemaliza. Sheria inasomwa kwa cross referencing. Arresting officer anaye exercise power of arrest ni lazima acomply na Sheria za ukamataji. Anyway mjadala unaweza kuwa mrefu ngoja niishie hapa
 
TRA kuanzia lini wakafanya kazi hizo za kukimbizana na walipa kodi mtaani?
Wana malengo ya kukusanya za krismas na mwaka mpya. Hapo nadhani wamevuka mipaka ya utendaji, kufuzana mitaani na kutumia nguvu ni polisi tu ndie ana Hilo jukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…