TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,149
Reaction score
3,963
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.

Source: Aljazeera English.
 
Israel Miaka yote alikuwa ameamua kuwa mpole huku Irani ikijaza Silaha, Gaza, Lebanon na West bank.

Sasa Israel imeamua Kula roho za Hawa magaidi kila walipo.

Gaza now, itaundwa na kupangwa upya na checkpoints kama za West bank, hakuna Watu kurundikana

Hezbollah watarudi nyuma na wakileta kibuli Israel itaexpand Lebanon yote.

Sryria wameitaka Iran kupunguza vikundi vyake na ushawishi, ikibisha Israel atagawa Silaha za Hezbollah kwa waasi

Iran Ayatollah yuko kwenye radar
 
Endelea kuota kijana hizbullah bado ipo ipo sanaa na huko Gaza hamtaikalia
 
Hapo iran kapapaswa tu hajapigwa ni bora aombe amani tu kabla hajapokea kipigo kikiubwa cha mbwa koko. Cha msingi ni kuacha kusaidia vikundi vya kipalestina kuishambulia israel maisha yaendelee. Haya majibizano si mazuri israel haitakubali ishindwe inataka amani
 
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.

Source: Aljazeera English.
Mbwembwe zote zile na kujiandaa kote kule ndiyo hivyo tu ...kweli ccm na Israel ni wahuni ndugu moja
 
Wenzako wanalenga kiwanda cha Shaheed drones na cruise missiles sio watu. Kama watu si wangepiga sokoni tu maana kule zimeenda ndege, Iran pamoja na kujimwambafai ujanja wa kwenda na ndege Tel Aviv hana.
 
Wenzako wanalenga kiwanda cha Shaheed drones na cruise missiles sio watu. Kama watu si wangepiga sokoni tu maana jule zimeenda ndege, Iran pamoja na kujimwambafai ujanja wa kwenda na ndege Tel Aviv hana.
Viwanda vipo chini ya ardhi juu ni bosheni tu ...viwanda gani vimeripuka mabomu yote yametafunwa kirahisi cheki ile video utaona mifumo bora ya kudungua mabomu ilivyo fanya kazi
 
Kumbuka JIKO la nuklia liko chini ya ardhi, wa iran wamemtumia putin kumuonya Israel asijaribu kukukigonga.

Kama kipo chini si wangetulia tu. Nasrallah alikuwa mita 40 chini, karibu nusu ya uwanja wa mpira, sasa tunasubiri ndege za iran na zile alizopewa na mrusi ziruke kupiga Tel Aviv. Mko kiushabiki sana tusubiri hizo ndege za ma ayatolla.
 
Kumbuka JIKO la nuklia liko chini ya ardhi, wa iran wamemtumia putin kumuonya Iran asijaribu kukukigonga.

Kama kipo chini si wangetulia tu. Nasrallah alikuwa mita 40 chini, karibu nusu ya uwanja wa mpira, sasa tunasubiri ndege za iran na zile alizopewa na mrusi ziruke kupiga Tel Aviv. Mko kiushabiki sana tusubiri hizo ndege za ma ayatolla.
Vinu vya nuclear vipo juu ya ardhi wanacho ogopa ni mionzi yake hata kwa ajali ya kawaida ni hatari ..hivyo bomu likipiga hata pembeni na kusababisha mtikisiko na vinu kuvuja ni hatari
 
Back
Top Bottom