TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

Mnaonesha vijipicha vya kuunga unga!?
Onesheni video kama za Oktoba mosi.
Ushabiki wako au wangu aubadilishi kitu😁Mahaba uliyonayo kwa Iran ni yako. Picha Kiwanda cha Drone moja wapo kilichoshambuliwa na Wajukuu wa Yakobo -Zima moto akizima Moto
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1730002849708.mp4
    284.4 KB
Hawakufahamu,kama wangefahamu wangeshawaokoa.
Kufahamu kuhusu viongozi huo ulikua mpango kazi wa muda mrefu sana sio wa jana ama juzi.
Ungeijua hiyo Hannibal protocol inavyofanya kazi basi ungekaa kimya kuliko kubisha kwa maneno. Kaa ukijua, Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiria wewe...
 
Usishupaze shingo mzee baba, achana na ulokole wa mchongo bali jifunze kuwa mtafiti wa mambo hata km huna lolote Duniani. Haya soma hapo; Report: Israeli Officials Knew of October 7 Attack a Year Ago, But Didn’t Act
Hizi ripoti zote mimi nimesoma.
Pia mimi sio mlokole.
Hizi ni propaganda na espionages tu nothing else.
Huwezi kujua kuhusu shambulio litakaloua mamia ya raia na kuharibu makazi halafu usifanye action ya kuzuia.
Hawa wazungu wanawaharibu sana akili aisee kwa kuwa brainwash.
 
Ushabiki wako au wangu aubadilishi kitu😁Mahaba uliyonayo kwa Iran ni yako. Picha Kiwanda cha Drone moja wapo kilichoshambuliwa na Wajukuu wa Yakobo -Zima moto akizima Moto
😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?
Sasa hiki kiwanda si kesho kutwa tu kitaanda kufanya kazi tena!??
Israel ime prove kuwa dhaifu sana tena sana.
 
Ungeijua hiyo Hannibal protocol inavyofanya kazi basi ungekaa kimya kuliko kubisha kwa maneno. Kaa ukijua, Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiria wewe...
Aisee unatakiwa ujue kutofautisha kati ya taarifa sahihi na propaganda.
Endelea kupumbazwa akili.
 
Juzi hapo Iran alipotaka kushambulia Israel, taarifa zilisambaa haraka kabla ya shambulio, kulikoni?
Hizi ripoti zote mimi nimesoma.
Pia mimi sio mlokole.
Hizi ni propaganda na espionages tu nothing else.
Huwezi kujua kuhusu shambulio litakaloua mamia ya raia na kuharibu makazi halafu usifanye action ya kuzuia.
Hawa wazungu wanawaharibu sana akili aisee kwa kuwa brainwash.
 
Jazia na hii;
Umesoma hii taarifa yote kikamilifu!??
Embu rejelea kusoma.
Israel ilipata tetesi za mashambulizi ila haiku react kwa hizo sababu tatu ambazo zimewekwa humo ndani.
Pia kwa muundo wa hizo intels haikuwa ikifahamika directly kuwa shambulio litatokea Oktoba 7.
 
Taarifa sahihi na zenye kueleweka huwezi kuzipata kwa Main stream Media sababu The Matrix inakuchagulia ni habari zipi unapaswa kuzipata na hata km utapata zilizo nje ya The Matrix basi wametaka upate kwa lengo maalum
Aisee unatakiwa ujue kutofautisha kati ya taarifa sahihi na propaganda.
Endelea kupumbazwa akili.
 
Juzi hapo Iran alipotaka kushambulia Israel, taarifa zilisambaa haraka kabla ya shambulio, kulikoni?
La Iran unafananishaje na la Hamas kuvamia Oktoba 7!?
Embu pimia mizani mwenyewe.
Na la Iran CIA ndio wanapata taarifa na kuzitoa.
 
Taarifa sahihi na zenye kueleweka huwezi kuzipata kwa Main stream Media sababu The Matrix inakuchagulia ni habari zipi unapaswa kuzipata na hata km utapata zilizo nje ya The Matrix basi wametaka upate kwa lengo maalum
Mkuu pimia tukio embu kasome taarifa yako ya mwisho ya theconversation.com.
 
La Iran unafananishaje na la Hamas kuvamia Oktoba 7!?
Embu pimia mizani mwenyewe.
Na la Iran CIA ndio wanapata taarifa na kuzitoa.
MOSSAD, SHIN BET wanavyosifika kwa intelligent na walivyojazana mashariki ya kati walishindwa kutambua 7 October attacks
 
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.

Source: Aljazeera English.
Waarabu wa Buza si walisema hakuna hata risasi ya Israel oliotua Iran? Waliokufa so far ni wanne. Walikuwa kwenye defence systems zilizolipuliwa.
 
😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?
Sasa hiki kiwanda si kesho kutwa tu kitaanda kufanya kazi tena!??
Israel ime prove kuwa dhaifu sana tena sana.
Tena sana!Israel kwa Iran ni Mchumba tu
 
putin hawezi kujiingiza kwa maayatollah kuwasaidia zana wakati naye ana mziki mnene anachezeshwa na ukraine. Akiwasaidia tu marekani na washirika wake hawatakaa kimya kuiacha israeli iangamie. Iran ikubali tu kuacha kujibishana na israel itapata mapigo ya ajabu
Putin mwenyewe anaomba silaha North Korea ataweza kusaidia nini na silaha zake third class? Anachoringia ni nyuklia bombs tu.
 
Iran Kichapo walichokipata awatakaa wasahau- na hapo USA aliwaomba Israel wasipige mitambo ya kusafisha mafuta, airports na Bandali vinginevyo wangekuwa gizani kama Yemen! Israel anauwezo wa kulipuwa chochote ndani ya Iran ikowemo mitambo ya kuzalisha umeme n.k- wakiendelea atawarudisha enzi za ujima za makarabai na koroboi
Kwa hiyo huu ndo ushahidi w shambulio
 
😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?
Sasa hiki kiwanda si kesho kutwa tu kitaanda kufanya kazi tena!??
Israel ime prove kuwa dhaifu sana tena sana.
Walokole wanadai itachukua miaka 3 mpaka 10 kukitengeenza sjui kimetengenezwa kwa dhahabu
 
Kwa hiyo huu ndo ushahidi w shambulio
Ukikereka meza wembe!. Iran atokaa asahau hiki kipigo kama unajua lugha iliyokuja na meli jisomee hapa
 
Attachments

  • IMG_2517.jpeg
    IMG_2517.jpeg
    201.3 KB · Views: 2
Walokole wanadai itachukua miaka 3 mpaka 10 kukitengeenza sjui kimetengenezwa kwa dhahabu
Hawana akili hao.
Walisema kuwa mfumo wa anga wa Iran umeharibiwa asubuhi yake tunaona gari za Bavaar-373 ADS na Khordak-15 zikisambazwa miji ya Iran.
Ndio ujue hili shambulio ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom