MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Endelea kuota kijana hizbullah bado ipo ipo sanaa na huko Gaza hamtaikaliaIsrael Miaka yote alikuwa ameamua kuwa mpole huku Irani ikijaza Silaha, Gaza, Lebanon na West bank.
Sasa Israel imeamua Kula roho za Hawa magaidi kila walipo.
Gaza now, itaundwa na kupangwa upya na checkpoints kama za West bank, hakuna Watu kurundikana
Hezbollah watarudi nyuma na wakileta kibuli Israel itaexpand Lebanon yote.
Sryria wameitaka Iran kupunguza vikundi vyake na ushawishi, ikibisha Israel atagawa Silaha za Hezbollah kwa waasi
Iran Ayatollah yuko kwenye radar
Uzuri wa Israel hawaamini moto.. Idadi ya watakao kufa utafika 50K soonEndelea kuota kijana hizbullah bado ipo ipo sanaa na huko Gaza hamtaikalia
Madrasaπ€£ Israhell ndio imelipa alivyotuahidi paka
Amka utakojoaLink to the Video;
Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
Iranβs FM says Tehran has no limits in defending its territorial integrity after Israeli strikes kill four.aje.io
Nenda ukabarikiwe kijanaMadrasa
Mbwembwe zote zile na kujiandaa kote kule ndiyo hivyo tu ...kweli ccm na Israel ni wahuni ndugu mojaJeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.
Source: Aljazeera English.
Wenzako wanalenga kiwanda cha Shaheed drones na cruise missiles sio watu. Kama watu si wangepiga sokoni tu maana kule zimeenda ndege, Iran pamoja na kujimwambafai ujanja wa kwenda na ndege Tel Aviv hana.Mbwembwe zote zile na kujiandaa kote kule ndiyo hivyo tu ...kweli ccm na Israel ni wahuni ndugu moja
Viwanda vipo chini ya ardhi juu ni bosheni tu ...viwanda gani vimeripuka mabomu yote yametafunwa kirahisi cheki ile video utaona mifumo bora ya kudungua mabomu ilivyo fanya kaziWenzako wanalenga kiwanda cha Shaheed drones na cruise missiles sio watu. Kama watu si wangepiga sokoni tu maana jule zimeenda ndege, Iran pamoja na kujimwambafai ujanja wa kwenda na ndege Tel Aviv hana.
Kumbuka JIKO la nuklia liko chini ya ardhi, wa iran wamemtumia putin kumuonya Israel asijaribu kukukigonga.Viwanda vipo chini ya ardhi juu ni bosheni tu ...viwanda gani vimeripuka mabomu yote yametafunwa kirahisi cheki ile video utaona mifumo bora ya kudungua mabomu ilivyo fanya kazi
Vinu vya nuclear vipo juu ya ardhi wanacho ogopa ni mionzi yake hata kwa ajali ya kawaida ni hatari ..hivyo bomu likipiga hata pembeni na kusababisha mtikisiko na vinu kuvuja ni hatariKumbuka JIKO la nuklia liko chini ya ardhi, wa iran wamemtumia putin kumuonya Iran asijaribu kukukigonga.
Kama kipo chini si wangetulia tu. Nasrallah alikuwa mita 40 chini, karibu nusu ya uwanja wa mpira, sasa tunasubiri ndege za iran na zile alizopewa na mrusi ziruke kupiga Tel Aviv. Mko kiushabiki sana tusubiri hizo ndege za ma ayatolla.