TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

Uliona kilichotokea au ulikua umefumba macho ukisali ?
 
Nyie kondoo mnaofunga macho mkisali hivi hata kwenye habari kuna nyingine mnafungia macho au mnapenda ubishani tuh
 
putin hawezi kujiingiza kwa maayatollah kuwasaidia zana wakati naye ana mziki mnene anachezeshwa na ukraine. Akiwasaidia tu marekani na washirika wake hawatakaa kimya kuiacha israeli iangamie. Iran ikubali tu kuacha kujibishana na israel itapata mapigo ya ajabu
 
Kuna slogan moja ya Israel inasema "From river to the Sea", na nyingine inaitwa "Hannibal protocol " unazifahamu?.
Inashangaza kunambia eti Israel haikua na ufahamu wa shambulio la Oct 7, Haifahamu mateka wako wapi ila inafahamu Viongozi wa Hezbollah na Hamas walipo, really 😂😂
 
Unachekesha kweli na huu ujuaji uchwara wako toka Facebook. Wakati wa vita vya Russia na Ukraine, Iran alisaidia kusupply Drones na vifaa vingine kwa Russia ambavyo vinaendelea kutumika mpaka sasa. Iran alipotaka kulipiza kisasi kwa Israel, Russia alikuwa nyuma yake na mpaka sasa. Wake up man!
 
kwa hiyo urusi ndiyo anajibishana na israel, basi acha marekani na washirika wake nao waingie mnyukanoni kuinyuka urusi kwenye huo uwanja wa vita
 
Iranian military announces two further deaths from Israel's attackspublished at 18:05

18:05Breaking

The Iranian military has announced the death of two further soldiers following last night’s strikes - bringing the total death toll to four.

In a post on messaging app Telegram, the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) said Sajjad Mansouri and Mehdi Naghavi, both members of Iran's army, were killed in addition to the two soldiers we wrote about earlier.

Idadi imaongezeka tu pole pole.. msiba mkubwa.. walisema hata mosquito hajafa.. na bado kiwanda cha drone Arabs news wanasema kuna watatu wamededi
 
Wameongezeka wawili. Sasa hivi ni wanne waliofariki, lakini Waajemi wa Bonyokwa wanaodai ni shambulio ambalo halikufanikiwa. Naomba wakawaambie ndugu wa wafiwa hivyo!
 
Viwanda vipo chini ya ardhi juu ni bosheni tu ...viwanda gani vimeripuka mabomu yote yametafunwa kirahisi cheki ile video utaona mifumo bora ya kudungua mabomu ilivyo fanya kazi
Iran Kichapo walichokipata awatakaa wasahau- na hapo USA aliwaomba Israel wasipige mitambo ya kusafisha mafuta, airports na Bandali vinginevyo wangekuwa gizani kama Yemen! Israel anauwezo wa kulipuwa chochote ndani ya Iran ikowemo mitambo ya kuzalisha umeme n.k- wakiendelea atawarudisha enzi za ujima za makarabai na koroboi
 

Attachments

  • IMG_2208.jpeg
    146.8 KB · Views: 2
  • IMG_2209.jpeg
    389.1 KB · Views: 2
  • IMG_2210.jpeg
    472.4 KB · Views: 3
  • IMG_2211.jpeg
    541.1 KB · Views: 2
  • IMG_2212.jpeg
    100 KB · Views: 3
  • IMG_2213.jpeg
    415.7 KB · Views: 2
  • IMG_2206.jpeg
    405.3 KB · Views: 2
Hawakufahamu,kama wangefahamu wangeshawaokoa.
Kufahamu kuhusu viongozi huo ulikua mpango kazi wa muda mrefu sana sio wa jana ama juzi.
 
Mnaonesha vijipicha vya kuunga unga!?
Onesheni video kama za Oktoba mosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…