Ushabiki wako au wangu aubadilishi kitu😁Mahaba uliyonayo kwa Iran ni yako. Picha Kiwanda cha Drone moja wapo kilichoshambuliwa na Wajukuu wa Yakobo -Zima moto akizima MotoMnaonesha vijipicha vya kuunga unga!?
Onesheni video kama za Oktoba mosi.
Ungeijua hiyo Hannibal protocol inavyofanya kazi basi ungekaa kimya kuliko kubisha kwa maneno. Kaa ukijua, Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiria wewe...Hawakufahamu,kama wangefahamu wangeshawaokoa.
Kufahamu kuhusu viongozi huo ulikua mpango kazi wa muda mrefu sana sio wa jana ama juzi.
Hizi ripoti zote mimi nimesoma.Usishupaze shingo mzee baba, achana na ulokole wa mchongo bali jifunze kuwa mtafiti wa mambo hata km huna lolote Duniani. Haya soma hapo; Report: Israeli Officials Knew of October 7 Attack a Year Ago, But Didn’t Act
Jazia na hii;Hawakufahamu,kama wangefahamu wangeshawaokoa.
Kufahamu kuhusu viongozi huo ulikua mpango kazi wa muda mrefu sana sio wa jana ama juzi.
😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?Ushabiki wako au wangu aubadilishi kitu😁Mahaba uliyonayo kwa Iran ni yako. Picha Kiwanda cha Drone moja wapo kilichoshambuliwa na Wajukuu wa Yakobo -Zima moto akizima Moto
Aisee unatakiwa ujue kutofautisha kati ya taarifa sahihi na propaganda.Ungeijua hiyo Hannibal protocol inavyofanya kazi basi ungekaa kimya kuliko kubisha kwa maneno. Kaa ukijua, Dunia haiendeshi hivyo unavyofikiria wewe...
Hizi ripoti zote mimi nimesoma.
Pia mimi sio mlokole.
Hizi ni propaganda na espionages tu nothing else.
Huwezi kujua kuhusu shambulio litakaloua mamia ya raia na kuharibu makazi halafu usifanye action ya kuzuia.
Hawa wazungu wanawaharibu sana akili aisee kwa kuwa brainwash.
Umesoma hii taarifa yote kikamilifu!??Jazia na hii;
Why Israel’s intelligence chiefs failed to listen to October 7 warnings – and the lessons to be learned
Israel’s intelligence services had collected and dismissed some detailed evidence about a possible Hamas attack.theconversation.com
Aisee unatakiwa ujue kutofautisha kati ya taarifa sahihi na propaganda.
Endelea kupumbazwa akili.
La Iran unafananishaje na la Hamas kuvamia Oktoba 7!?Juzi hapo Iran alipotaka kushambulia Israel, taarifa zilisambaa haraka kabla ya shambulio, kulikoni?
Mkuu pimia tukio embu kasome taarifa yako ya mwisho ya theconversation.com.Taarifa sahihi na zenye kueleweka huwezi kuzipata kwa Main stream Media sababu The Matrix inakuchagulia ni habari zipi unapaswa kuzipata na hata km utapata zilizo nje ya The Matrix basi wametaka upate kwa lengo maalum
MOSSAD, SHIN BET wanavyosifika kwa intelligent na walivyojazana mashariki ya kati walishindwa kutambua 7 October attacksLa Iran unafananishaje na la Hamas kuvamia Oktoba 7!?
Embu pimia mizani mwenyewe.
Na la Iran CIA ndio wanapata taarifa na kuzitoa.
SawaMkuu pimia tukio embu kasome taarifa yako ya mwisho ya theconversation.com.
Waarabu wa Buza si walisema hakuna hata risasi ya Israel oliotua Iran? Waliokufa so far ni wanne. Walikuwa kwenye defence systems zilizolipuliwa.Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.
Source: Aljazeera English.
Tena sana!Israel kwa Iran ni Mchumba tu😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?
Sasa hiki kiwanda si kesho kutwa tu kitaanda kufanya kazi tena!??
Israel ime prove kuwa dhaifu sana tena sana.
Putin mwenyewe anaomba silaha North Korea ataweza kusaidia nini na silaha zake third class? Anachoringia ni nyuklia bombs tu.putin hawezi kujiingiza kwa maayatollah kuwasaidia zana wakati naye ana mziki mnene anachezeshwa na ukraine. Akiwasaidia tu marekani na washirika wake hawatakaa kimya kuiacha israeli iangamie. Iran ikubali tu kuacha kujibishana na israel itapata mapigo ya ajabu
Kwa hiyo huu ndo ushahidi w shambulioIran Kichapo walichokipata awatakaa wasahau- na hapo USA aliwaomba Israel wasipige mitambo ya kusafisha mafuta, airports na Bandali vinginevyo wangekuwa gizani kama Yemen! Israel anauwezo wa kulipuwa chochote ndani ya Iran ikowemo mitambo ya kuzalisha umeme n.k- wakiendelea atawarudisha enzi za ujima za makarabai na koroboi
Walokole wanadai itachukua miaka 3 mpaka 10 kukitengeenza sjui kimetengenezwa kwa dhahabu😂😂😂😂😂😂Doh yani ndege 100 ndio zilete madhara madogo hivi!?
Sasa hiki kiwanda si kesho kutwa tu kitaanda kufanya kazi tena!??
Israel ime prove kuwa dhaifu sana tena sana.
Ukikereka meza wembe!. Iran atokaa asahau hiki kipigo kama unajua lugha iliyokuja na meli jisomee hapaKwa hiyo huu ndo ushahidi w shambulio
Hawana akili hao.Walokole wanadai itachukua miaka 3 mpaka 10 kukitengeenza sjui kimetengenezwa kwa dhahabu