Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Zaman, Fat Joe, birdman, Kanye West , ja lur, Lilly Wayne etc.... Ila Sasa eti sijui tishekedii yaan hata sijui wanarap / hip-hop ya dunia gani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya mebadilika hatuwezi kuishi zama zile zile ww ndio uko mbali na music ndio maana uelewi embu angalia hata hao watu uliowataja hapo mwengine washastahafu music hii inaonesha jinsi gani upo mbali na hii tasnia 😎
 
Tekashi watamuua muda sio mrefu japo ametuachia GOOBA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
JAmaa kaweka clip you tube imehit 52mil in 24hr
 
Reactions: amu
Hip hop ya huko nilianza kuiona inaenda halijojo toka enzi ya soldier boy... Haka kajamaa kalikua kanaimba ujinga tu mpaka wakongwe kwenye game walikua wanamponda
Souldier boy sijawahi kujua kama ni msanii, nilikuja kujua kwenye ile kiki yake na brown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…