Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

Kwani hukuwahi kukatwa na wajumbe wa CCM ?
Hapo ulikuwa hutaki nafasi yoyote?

Au sisi unatuona wajinga hatuna kumbukumbu?
 
Thread Imekosa Neno Moja Tu Ambalo Ni Hili
Haijawahi Kutokea hii Isipokuwa Awamu Ya 6, haa
haa, Mambo Mengine Ni Kinyaa Sana
Paskali analeta utoto sasa hapa, yaani vitu vidogo kama hivyo alafu anataka kutufanya wakulima 😁!.

Na ushamba wake wa kisukuma anashindwa kuelewa live ya sasa haihitaji madude makuubwa au siyo lazima uwe na ule mdude aliousifia.
 
Brooo nakukubalii sanaaa

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mwajuana nimekosea kuingilia, naomba msamaha.

Sent from my HUAWEI MLA-L11 using JamiiForums mobile app
 
Paskali analeta utoto sasa hapa, yaani vitu vidogo kama hivyo alafu anataka kutufanya wakulima 😁!.

Na ushamba wake wa kisukuma anashindwa kuelewa live ya sasa haihitaji madude makuubwa au siyo lazima uwe na ule mdude aliousifia.
Haa Haa
Mashkolo Mageni Kwa Mkuu Paschal
 
Naomba kuuliza kwan kaka mkubwa paskali akiamua kupongeza jambo lazima tuhusianishe na teuzi kutoka serikarini? Yaan ndo akili zetu JF zimeishia hapo kweliii? Mimi binafsi nilitegemea watu wanaomkosoa wamjibu kwa kutoa nondo(maarifa) mwisho, nahitimisha kwa kusema nasikitika JF great thinkers wamebaki wachache. Naomba kuwasilisha

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 

Upuuzi na ujinga, why?

- Huo uwezo unawezeshwa na kodi zetu and so bora ungetusifia sisi.

Chombo cha Habari kibasifiwa na ubunifu na content; mimi sijui wewe ni mwandishi gani.

Mke asifiwi sababu ya wowowo anasifiwa sababu ya ubora wa kuwa mwanamke Maana ni mke.
 
Hongera serikali ya awamu ya sita chini ya mama wanaupiga mwingi.

Ila juzi Bongo zozo naye alituambia alitaka kuonesha mechi ya Taifa stars live kwa kutumia simu yake ila alikatazwa.

Binafsi nachanganyikiwa tu. [emoji23][emoji23]
 
Pambaneni kujitangaza wazee maana mnakazi ya kuonyesha maisha ya swala tu nyie wafanyakazi mtazani mmetoka familia moja.
 
DSTV sio Bongo. Hapa Tanzania umeisha wahi kuona live mbili za kituo kimoja?. Mimi ndio leo.
P
Nakuheshimu sana ila unajitoa akili. Azam ni media ya nje wanarusha mipira zaidi viwanja vinne mpaka wanaivamia ZBC2. Labda sema unatafuta kazi hapo. TBCCM hawana jipya wamekalia kurogana tu hapo kuna uchawi hapo kuliko shirika lolote la habari na kwa mbali mdudu hayupo mbali sana kuwamaliza. Vipi ile vita ya vijana wapya dotcom na SLP imeshamalizika.
 
Out of topic : kombe la dunia mwakani nani wamepewa leseni ya kurusha matangazo kwa hapa TZ. Msaada wakuu maana nipo dilemma niwe na kisimbuzi gani nipate uhondo huo.
Kila nchi rights zinatolewa kwa TV za Taifa tuu. Hivyo kwa Tanzania ni TBC, ila cable kama DSTV pia wanaweza kununua rights kutoka Fifa, hii maana yake na Azam wanaweza!.
 
DSTV sio Bongo. Hapa Tanzania umeisha wahi kuona live mbili za kituo kimoja?. Mimi ndio leo.
P
Azam tv ameshafanya live zaidi ya saba kwa wakati mmoja. Kufungwa kwa msimu wa ligi kuu msimu ulioisha mechi zote zilichezwa muda mmoja na zote zilirushwa live. Hapo achana na ratiba zake za kila mara wanarusha mechi za ligi zaidi ya mechi moja live kwa wakati mmoja
 
DSTV sio Bongo. Hapa Tanzania umeisha wahi kuona live mbili za kituo kimoja?. Mimi ndio leo.
P
Wee ni mshamba,

Azam Mara kibao anarusha mechi zaidi ya 3 kwa wakati mmoja.

Zbc kule Zanzibar Mara kibao anarusha michuano zbc 1 na zbc 2 zote kwa pamoja
 
Hebu ficha ujinga wako Basi
 
DSTV sio Bongo. Hapa Tanzania umeisha wahi kuona live mbili za kituo kimoja?. Mimi ndio leo.
P
Channel ya Azamsports HD wanarusha hadi mechi 4 za bongo kwa wakati mmoja kwenye channel moja. Yani ndani ya dk 90 wanakupitisha mtazamaji viwanja vinne mikoa tofauti.
 
Gari la serikali limepakwa rangi ya CCM kijani!
Mayalla unakusanya TV mbili, Ving'amuzi viwili na rimoti mbili unaviwasha kisha unaviweka kwenye stesheni mbili tofauti ili uje uvisifie kwetu! Death of a kicking horse. Kwangu mimi TBC haina tofauti na polisi, DailyNews, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa vyama vya Siasa na CCM ambao wametanguliza chuki kwa upinzani, anyway you are drifting in the same ding.
 
Inamaana ITV wanaporushaga laiv huwa wanaazima hizo OB Van
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…